Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #201
mshamba_hachekwi nadhani swali la kwanza Lina tuhusu wote🙏.Onyesha graduate aliyeko mtaani Hana hata Mia mfukoni Ila kichwani anayo maarifa anavyoweza kubadilisha to cash.
Pia mwajiriwa afanyeje biashara gani za uhakika ambazo hatokuwa anapigwa,Mana siku hizi Kuna watu wanafanya kazi ,anasevu hela later anafungua biashara anampa ndugu,rafiki,anaajiri mtu Bali Ila wote hao wanampiga ,kiasilia watu Ni wavivu ndio Mana wizi hautoisha milele na hakuna dini itakayokomesha wizi.
Unampa boda,hiace Kijana wiki ya kwanza anakuwa very active later unaletewa maneno,ama dukani bidhaa zinaisha na Hakuna hela unaambiwa akakopesha
👉Tia neno mkuu