Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 4,439
- 8,184
Bado sjafikia hyo level ya stressWe sonona Ina kutesa, kuwa makini Sasa🙏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado sjafikia hyo level ya stressWe sonona Ina kutesa, kuwa makini Sasa🙏
SawaBado sjafikia hyo level ya stress
Na siku ukifariki hao wanaoendesha , baiskeli na mikokoteni ndio watakao kuja kukuzika kwa wingi , kuliko hao walio na ranger rovers wenzio maana muda huo watakuwa ulaya wakifanta yao
Huu uzi Ni madini matupu
Umeona mentality yao. Mtu anakutishia kuwa mie ndiye nitakayekuzika kwani hata nisipozikwa nikaoza nikaliwa mzoga na bwana afya Nina hasara gani. Kwanza sina ufahamu Kama naoza wao ndio wanaoteseka kuvuta harufu ya uozo. Huyu hataki kukubali ukweli. Ishu Ni kuwa Kama mawazo yanafanana pia utajiri hata wa kichwani knowledge fulani sio lazima tangible things. Kuna watu hawana pesa Ila kampani zao Ni matajiri tu na mawazo wanaendana na waanamuomba mawazo anawashauri Mambo yao yanazidi kukubali ama Kuja kulingana walivyoshauriwaKauli za kimaskini hizi[emoji4]
Shukrani bro🙏, tuzingatie ili tufike kileleniHuu uzi Ni madini matupu
Nime furahi kukuona Tena bro keisangora, endelea kutema madini🙏Hata salamu pia Ina gharama hakuna Cha bure duniani. So ndio Mana una urafiki wa maslahi kwa watu. Ila unaweza ukawa na pesa pia ukamnyanyua your real niga from minus to positive infinite f wealth.
Hili suala la marafiki linakuja automatic the way maji yanavyotiririka bondeni. So even your mindset and framework inventory and structures attracts something to germinate
Kuna watu katika jamii ni majanga aisee, tuendelee kuelimishana 🙏🙏Umeona mentality yao. Mtu anakutishia kuwa mie ndiye nitakayekuzika kwani hata nisipozikwa nikaoza nikaliwa mzoga na bwana afya Nina hasara gani. Kwanza sina ufahamu Kama naoza wao ndio wanaoteseka kuvuta harufu ya uozo. Huyu hataki kukubali ukweli. Ishu Ni kuwa Kama mawazo yanafanana pia utajiri hata wa kichwani knowledge fulani sio lazima tangible things. Kuna watu hawana pesa Ila kampani zao Ni matajiri tu na mawazo wanaendana na waanamuomba mawazo anawashauri Mambo yao yanazidi kukubali ama Kuja kulingana walivyoshauriwa
Birds of the same style, fly together 🙏Kabisa pesa huleta heshima kubwa duniani, na utaishi kwa raha sana , hata viongozi watataka kua na urafiki na wewe
Kaka Arovera Ume ongea kwa uchungu Sana, tuendelee kupambania Malengo 🙏🙏Tena ukiwa maskini unashangaa tu mara miguu inanuka, mara jogoo akudonoe miguuni, mara ukutane na mbuzi asiamame akuangalie kwa dharau ilimradi tu tafrani, ukiwa maskini hata konda kwenye daladala anapokea nauli kwa mkono wa kushoto
Una maanisha ndo mfariji wake pekee😂😂Rafiki maskini wa tajiri ni mganga tu.