kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,421
- 18,760
Naam, sahihi kabisa....Maintain nafasi yako, hao hai ndio marafiki.
[emoji117]Ishi nao kwa makini[emoji120]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam, sahihi kabisa....Maintain nafasi yako, hao hai ndio marafiki.
[emoji117]Ishi nao kwa makini[emoji120]
Tulishathirika nao mwanzo sasa points ukizotaja ndio naishi nazo mwaka wa 10 sasa....Sio mbaya kutengeneza bond, ila ishi kwa alert.
[emoji117]Mazoea yasiwe deep Sana, coz unaeza potezwa na hao hao.
[emoji117]Wakikuonyesha upendo, waonyesho upendo×2.
[emoji117]Wakikuvuruga usilipe, wape nafasi waende ili kutotengeneza nafasi ya uadui[emoji120] kabanga
Kinywa husema kilicho moyoni mwa mtu 😅😅We boya Umeona ngono tu😂🤣 Mzee wa kupambania 😂🤣
Gud gud lakini ??Kinywa husema kilicho moyoni mwa mtu 😅😅
Aisee ni guder kabisa. Vipi pande hizo?Gud gud lakini ??
Watu wako wa karibu, daily ??Nikiulizwa swali rafiki yako nani?....sina aise mara ya mwsho kua na rafiki ni maisha ya masomoni tu
Kwa sasa sina
Ninaposali nimezoeana na jamaa mmoja hv mtu mzima sana ana familia yake ..huyo kidogo ndio huwa nampigia simu kuongea naeWatu wako wa karibu, daily ??
Hao ndio marafiki zako🙏🙏, kuhusu rafiki wa kike🤔Ninaposali nimezoeana na jamaa mmoja hv mtu mzima sana ana familia yake ..huyo kidogo ndio huwa nampigia simu kuongea nae
Wengine huwa tunasalimiana tu basi tukiongea basi ni mambo ya dini tu
Aise itabidi nitafte rafiki hususani wa kike,japo kuna watu wachache sana nimezoeana nao kazini hao wakipata dili huwa wananijuza
Mpaji Mungu hebu Soma hii Afu judge Tena 😂😂
Kama walivyo ndugu zako🙏Kwel utoto unakutesa mahangaiko yote ya nn kuku mdondo ww? Unahangaika ili uthibitishe nn labda?
Zero brain kwel ww
Kuna muda nahitaji kampani ya kukumbatiw kaka kwahyo rafiki wa kike atasaidiaHao ndio marafiki zako🙏🙏, kuhusu rafiki wa kike🤔
👉Kuwa makini asije vuruga mipango yako😁
Hao ndio marafiki zako🙏🙏, kuhusu rafiki wa kike🤔
👉Kuwa makini asije vuruga mipango yako😁
Sio AfricaNetwork is overrated
Subiri network uone tatizo lake
I think ukiwa na akili sana na ukatoa solution au bidhaa itakayo really solve problems,regardless hata uwe haramia kama Idd Amin,human beings will buy that shit
Network ni burden na kupotezeana muda
Nime zungumzia rafiki wa kike unaye mtaka??Kati ya hao wote hakuna hata mmoja anaejua mipango yangu
We sonona Ina kutesa, kuwa makini Sasa🙏Kuna muda nahitaji kampani ya kukumbatiw kaka kwahyo rafiki wa kike atasaidia