Mbeya home
Member
- Jan 4, 2021
- 88
- 123
KituuuTunatafuta pesa, tunaweka kanuni nyingi ilu kuishi kipesa.Tunatengana na so called wsshkaji wa kijiweni, kwa vile tu tumepata pesa.Lakini tukifilisika tunarejea tena vijiweni kwa jamii ile ile ambayo tulikuwa nayo na baadae tukaimbia baada ya kupata pesa.Mwishowe kumbe tukiwa na pesa au tukiwa hatunazo tunatakiwa kuwa na UTU tu.Wakati mwingine pesa huzaa uadui tu.ANYWAY ZITAFUTENI ILA ZISIWAGEUZE WANYAMA.