Jenga ngome yako, Usikubali kuishi kimazoea

Ni kweli kabisa, ila hi huwa Ina kaa 50/50 so Wana weza cheza role nzuri au mbaya🤒
Unaweza kufanikiwa kwa kuchukia umasikini. Ila haimanishi usihueshimu umasikini

Kila mtu ana nafasi katika maisha yako awe mzuri au mbaya. Sasa wabaya wasingekuwepo uzuri usingekuwa na maana

ndio kabisa inategemea what role they are playing. Ila maamuzi ni ya kwako. We always blame others for our failures. We don't thank those who do us good either. We shall also thanks those who push us to be better. .
 
Pamoja bro Gily Gru meza lazima ipinduke 💪.
👉Itakuwa faraja kuona kampuni za wazawa au wazawa waki ongoza chart💪
Watoto wana ndoto za kuwa millionaires ila sasa hawajishughulish😆

Kuna mdogo wangu alikuja kuomba mtaji kwa mzee wako kipindi babu amefariki. Mzee akamwambia ngoja tumzike babu yako tutaongea. Siku alipozikwa tu hakusuburi msiba upoe at that night akamuomba mzee mtaji again afanye biashara.
Mzee akamuliza
1. Unamtaji wa Shilingi ngapi nikuongezee
Kijana akajibu sina yela kabisa. Mzee akamuliza ulikuwa unafanya kazi miaka mitatu hela umepeleka wapi ? akajing'ata ng'ata tu hana majibu

2 Mzee akamuliza unataka kufanya biashara gani?
Akawa anajing'ata ng'ata


Majibu ya mzee: Kama ukifanya kazi miaka mitatu na hukusave chochote nikikupa mtaji utakula. Pili hujui hata inataka kufanya kazi gani. Nikikupa hela utachezea kapambane mwenyewe


Kijana: Alisikika akisema nikipata hela nitamwomyesha yule mzee. 😆

sio apate hela ajenge maisha yake. I am yet to see him being luck picking up diamond on a riverside. And when he has money he can throw it on my father's face😬 like ' I am rich now old man, Suck it'
 
Lengo ni kujifunza, kuhusu u smart - tuachie wenyewe tuna jua🤒.
keisangora, EMMYGUY, MIXOLOGIST, Gily Gru,
👉Hao ni moja ya watu smart Sana mzee
Sahihi, ila binadamu huwa tuna sifa ya kujitakasa. Kuwaona wengine ni wadhaifu na kujiona
Binafsi nimepata kuelewa Kile ambacho ulikuwa unaelekea kukieleza hapa.. nimewahi kupitia hali ile pia baada ya jamaa yangu wa karibu yaani rafiki haswa niliyekuwa nikihangaika nae kipindi cha shida. Alikuja kupata mishe akaniweka kando, niliumia na kulaani sana kwanini sijabahatika pia?

Ila nilijifunza jambo na kubadili kabisa mtazamo wangu juu ya maisha na watu kwa ujumla
 
Expectations ni Jambo baya Sana🤒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…