Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #541
Na mbona nime shaanza kung'oa misumali🤣😂😍ndo yale yale😂 na kusali sali ovyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mbona nime shaanza kung'oa misumali🤣😂😍ndo yale yale😂 na kusali sali ovyo
bahati hiyo ishikilie usiwe mzembeNa mbona nime shaanza kung'oa misumali🤣😂😍
Halafu ficha uhovyo wako, we heshimu imani za watu.ndo yale yale😂 na kusali sali ovyo
Pamoja Kaka 💪💪, sema Kuna vitu siwezi zungumzia. Ila acha tuendeleebahati hiyo ishikilie usiwe mzembe
si unaona mlivyo na hisia kali😅Halafu ficha uhovyo wako, we heshimu imani za watu.
Nina hisia Kali kuwa shinda waarabu wa Baghdad😂🤣🤒si unaona mlivyo na hisia kali😅
nini hii, ni concert ya muziki??
Ehhh, ila Kuna watu mna ona ni nude🤣😂nini hii, ni concert ya muziki??
unyama mbona sema sio legal huku tzEhhh, ila Kuna watu mna ona ni nude🤣😂
Hivyo vichwa vya watu bwege😂🤣, Huoni masikio na miwani mshamba_hachekwi 😂🤣🤒unyama mbona sema sio legal huku tz
nimeirashia tu😂Hivyo vichwa vya watu bwege😂🤣, Huoni masikio na miwani mshamba_hachekwi 😂🤣🤒
Ndo Mana nasema ishukuru shingo yako🤒🤣😂nimeirashia tu😂
Bado napitiaMkuu Jack Palladino usome kwanza, summary tuta ijadili🤒
Cool, ukimaliza tupe Ushauri ma Hustlers 💪🙏Bado napitia
Unaweza kufanikiwa kwa kuchukia umasikini. Ila haimanishi usihueshimu umasikiniNi kweli kabisa, ila hi huwa Ina kaa 50/50 so Wana weza cheza role nzuri au mbaya🤒
Watoto wana ndoto za kuwa millionaires ila sasa hawajishughulish😆Pamoja bro Gily Gru meza lazima ipinduke 💪.
👉Itakuwa faraja kuona kampuni za wazawa au wazawa waki ongoza chart💪
Sahihi, ila binadamu huwa tuna sifa ya kujitakasa. Kuwaona wengine ni wadhaifu na kujionaLengo ni kujifunza, kuhusu u smart - tuachie wenyewe tuna jua🤒.
keisangora, EMMYGUY, MIXOLOGIST, Gily Gru,
👉Hao ni moja ya watu smart Sana mzee
Binafsi nimepata kuelewa Kile ambacho ulikuwa unaelekea kukieleza hapa.. nimewahi kupitia hali ile pia baada ya jamaa yangu wa karibu yaani rafiki haswa niliyekuwa nikihangaika nae kipindi cha shida. Alikuja kupata mishe akaniweka kando, niliumia na kulaani sana kwanini sijabahatika pia?Binafsi nimekuelewa. Iliwahi kunitokea kipindi naanza kupambana, ila kwa baadae nikajagundua hao walionitenga walikuwa sahihi. Walinipa morali ya kupambana na kutokata tamaa.
Hata sasa kundi la marafiki nilionao ni tofauti na lile wakati naanza kupambana.
Kuna marafiki wanakuja kulingana na kazi/biashara unayoifanya, wengine watakutafuta na wengine unawatafuta pia.
NB:
Sijui kuandika kwa upana kuliko kuongea jamani.
Expectations ni Jambo baya Sana🤒Sahihi, ila binadamu huwa tuna sifa ya kujitakasa. Kuwaona wengine ni wadhaifu na kujiona
Binafsi nimepata kuelewa Kile ambacho ulikuwa unaelekea kukieleza hapa.. nimewahi kupitia hali ile pia baada ya jamaa yangu wa karibu yaani rafiki haswa niliyekuwa nikihangaika nae kipindi cha shida. Alikuja kupata mishe akaniweka kando, niliumia na kulaani sana kwanini sijabahatika pia?
Ila nilijifunza jambo na kubadili kabisa mtazamo wangu juu ya maisha na watu kwa ujumla