Jenga ngome yako, Usikubali kuishi kimazoea

Dah mzee Ushimen utarogwaaa hela ya mafao iisheπŸ€£πŸ˜‚πŸ€£
Ebu kua na adabu kijana wangu, mniache nife na changu.... maana nishaanza kuwaona mnapigia hesabu mafao yangu...πŸ˜•
Alafu mbona nimekaa na mama yako hapa naona amenuna...πŸ™ƒ maana wehuchelewagi kuharibu mipango yangu kwa mamako..😎
 
Nigee 200, lasivyo namwambia ulivyo kuwa una mpigisha mswaki dada wa kazi😁😁
 
Kwanza nilisha mwambia mama yako kwamba amfukuze maana anadalili za kua ananitaka, ndio maana akauiba huo mswaki wangu (wa mti) akautumia...😢🀨
Ko siku izi anaweza Iba mswaki wako wa asiliπŸ˜‚πŸ™„πŸ€’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…