Jenga ngome yako, Usikubali kuishi kimazoea

Jenga ngome yako, Usikubali kuishi kimazoea

Mzee una mzigo hata sehemu za ku ball lazima zibadilike, unless hao washikaji zako uwabebe ukawape exposure, kama hawabebeki unakata behewa haraka sana.
Wape michongo wakizingua piga chini, sio marafiki tu hata ndugu wakizingua piga chini
 
Tena ukiwa maskini unashangaa tu mara miguu inanuka, mara jogoo akudonoe miguuni, mara ukutane na mbuzi asiamame akuangalie kwa dharau ilimradi tu tafrani, ukiwa maskini hata konda kwenye daladala anapokea nauli kwa mkono wa kushoto
Hahaha aisee
 
Back
Top Bottom