Una taka kuni leteaππ€Right now?
Nataka uniwekeeUna taka kuni leteaππ€
Future decade tenseπππ€Nataka uniwekee
Nipe 50k basiπhamna mtu aliyepata furaha kwa pesa tu
mshamba_hachekwi fanya hivyo kijanaπππ€Nipe 50k basiπ
Haya, nasubiri nipo nimekaa paleπsitoi cash nataka nikutoe out siku mojaπ
Kazinguamshamba_hachekwi fanya hivyo kijanaπππ€
mshamba_hachekwi acha janja janjaπππ€Kazingua
π Hiyo Dar unakuja mwaka gani?one day nikiwepo dar ntafanya hivyoπ
Haya, inshaallahnikimaliza chuo lazima nisukumiziwe kwa wajomba hukoπ€£
USI nisahau katika ufalme wakoπππnikimaliza chuo lazima nisukumiziwe kwa wajomba hukoπ€£
πππ. Naona umepata mshtukoUSI nisahau katika ufalme wakoπππ
Mshituko upiπ€πππππ. Naona umepata mshtuko
Rubbishπ€ππufalme gani naenda kuosha vyombo tu wananiambia 'tunakufundisha maisha'
Pamoja sanaElimu ya mtaani...haya madini upati darasani. Tunashukuru sana
Hahaha aiseeTena ukiwa maskini unashangaa tu mara miguu inanuka, mara jogoo akudonoe miguuni, mara ukutane na mbuzi asiamame akuangalie kwa dharau ilimradi tu tafrani, ukiwa maskini hata konda kwenye daladala anapokea nauli kwa mkono wa kushoto
ngoja niwaite wakupife ban. π€£π€£π€£Nasikia mods wamekula kichwa π