Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
-
- #861
Kuna vitu 3, knowledge, exposure na pesa, uki vikamata au kuwa na kimoja katika hivyo.Jenga ngome YAKO ila usiishi kimazoea,
Eleza vizuri kijana,ngome hujengwa na wewe ila kuendelea/kukua kwa ngome sometimes kunahitaji nguvu ya watu wa karibu wenye malengo sawa na wewe(marafiki or watu wa karibu)
Unaweza kuwa na pesa ukahitaji ukaribu wa watu walio na pesa kama au zaidi ya wewe,ukifikiri utapata zaidi ya ulichonacho kutokana na maarifa ya pamoja lakini kumbuka awazalo yeye huenda likawa ni kufaidika zaidi yako na mtu mwenye maarifa asiye na pesa akakufaidisha zaidi ya mwenye pesa na malengo tofauti na yako ambayo huwezi kuyafahamu.
Naam, wao walikuwa na exposure ya mambo na mazingira halisi.Lemme tell you something rafiki,in my hustle with E commerce inv,I started prepping in that sct........kijana,nilikuwa na pesa tu ya kufanikisha but i didn't have the green light to do hiyo kitu in folks territory and laws had me locked down like a newbie.I had to bounce back from that disappointment and let it slide huku roho ikiuma.But lucky me in convo with my neighbors ambao hawakuwa na idea wala pesa na ni wenyeji...they showed me a way I never expected could shed light on the E-C.It's been years now and it's poppin' off real good and imepata umaarufu na mengineyo on folks' turf.Waliofanikisha extra miles hawakuwa kwenye idea wala pesa,ni watu walioonyesha njia pasi na tamaa na sio kama sikukutana na wenye idea sawa,no bali wasingeifikisha ilipo sasa.
sawa.Naaaaam
Ka Dei waka 🤣🙌, unanipa wakati mgumu kukimbilia google hadi nimekutana na wimbo wa sugu -Deiwaka ndio dayworker ,ok.Naam, wao walikuwa na exposure ya mambo na mazingira halisi.
Hope uta nipea ka dei waka, niweke hata idea zangu pia.
Kuna jamaa Humu tuko tuna discuss kufanya kitu, tuna similizia mambo fulani ya tick, so ngoja tuone.
Shida huni tajii Kijiji na info za maana😆🤣, maana inaweza kuwa turning point yangu kwa style Mpya 😊Ka Dei waka 🤣🙌, unanipa wakati mgumu kukimbilia google hadi nimekutana na wimbo wa sugu -Deiwaka ndio dayworker ,ok.
Nitakupa wapi sasa? Panda farasi ufike hapa kijijini.
Hongereni sana,mtafanikisha
Kama members wengine wanashindwa kusema walipo,mimi nina ubavu gani kusema nilipo.🤣Shida huni tajii Kijiji na info za maana😆🤣, maana inaweza kuwa turning point yangu kwa style Mpya 😊
So mdogo ako nife na njaaa for real??, this is not fair !Kama members wengine wanashindwa kusema walipo,mimi nina ubavu gani kusema nilipo.🤣
Hahaha! Huwezi kufa njaa,fika tarime hapa tulime mchichaSo mdogo ako nife na njaaa for real??, this is not fair !
Na Baadae nikifa empty, mtasema Bora ange ongea 😆🤓
Usha Anza jokes zako, kisa Ume Shiba🙄😁Hahaha! Huwezi kufa njaa,fika tarime hapa tulime mchicha
Dah! Aiseeh,sijapata hata chakula cha mchana ndio nasubiri.Usha Anza jokes zako, kisa Ume Shiba🙄😁
Utakuja chomeka moto mbaya Sana😁😆Dah! Aiseeh,sijapata hata chakula cha mchana ndio nasubiri.
Kwahiyo nikuambie ndio napata chakula wakati si kweliUtakuja chomeka moto mbaya Sana😁😆
Can you tell me more about that e com deal you're doing??Kwahiyo nikuambie ndio napata chakula wakati si kweli
ntafurahi Niki jifunza zaidi, au hutaki siku 1 nikiwa nahojiwa business inside niseme someone paved a way for me😁🤓Transaction method,business model na service sold lakini siwezi kukuambua vyote hapa,asante.
Haina shida, ni vyema kufahamu.ntafurahi Niki jifunza zaidi, au hutaki siku 1 nikiwa nahojiwa business inside niseme someone paved a way for me😁🤓
Nope, ila who doesn't wanna be recognized for being a major changer wa sekta au Jambo fulani zuri??.Haina shida, ni vyema kufahamu.
Unataka kufahamu kwa ajli ya umaarufu?🤣mbaya sana hiyo kijana.
Hakuna ambaye hataki hivyo lakini sometimes inakubidi kusimama nyuma ya pazia kutokana na mambo mengi tu.Nope, ila who doesn't wanna be recognized for being a major changer wa sekta au Jambo fulani zuri??.
Beside Nina mipango mikubwa na mizuri, ambayo an pretty sure Nita acha alama as a leader na influencer.
Bila kusahau ka jina pale forbses🤓😁
Naelewa kaka, hoPe tuta zidi ongea habari hizi nzuri za mapambano.Hakuna ambaye hataki hivyo lakini sometimes inakubidi kusimama nyuma ya pazia kutokana na mambo mengi tu.
Mipango mizuri na hii kila mtu pia ana ndoto nayo kwa njia anayohitaji/anayoona itamfaa.