Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #861
Kuna vitu 3, knowledge, exposure na pesa, uki vikamata au kuwa na kimoja katika hivyo.Jenga ngome YAKO ila usiishi kimazoea,
Eleza vizuri kijana,ngome hujengwa na wewe ila kuendelea/kukua kwa ngome sometimes kunahitaji nguvu ya watu wa karibu wenye malengo sawa na wewe(marafiki or watu wa karibu)
Unaweza kuwa na pesa ukahitaji ukaribu wa watu walio na pesa kama au zaidi ya wewe,ukifikiri utapata zaidi ya ulichonacho kutokana na maarifa ya pamoja lakini kumbuka awazalo yeye huenda likawa ni kufaidika zaidi yako na mtu mwenye maarifa asiye na pesa akakufaidisha zaidi ya mwenye pesa na malengo tofauti na yako ambayo huwezi kuyafahamu.
Kisha uka pata walio na 2, Basi mna enda extra miles