Jenga ngome yako, Usikubali kuishi kimazoea

Jenga ngome yako, Usikubali kuishi kimazoea

Kweli kabisa Kuna jamaa yangu Huwa hanielewi kabisa ratiba zangu Kuna siku tulipata mda wa kukaaa pamoja mda mrefu kidogo hivyo nikamchukua na kumpleka nyumbani dah alishangaa Sana kuona nimejenga nyumba kubwa tena ya kisasa kabisa na Bado sijaoa na Wala sio mtu wa bata akawaananiambia Sasa bro unanyumba tayari kwanini Huli bata na utafuti mtoto mzuri umuweke ndani dah nilimshangaa Sana why anafikiria hivyo dah pale pale nikasema kweli tuko tofauti
Na wewe una tatizo
 
Maturity is expensive product.
FB_IMG_16907221734173474.jpg
 
Back
Top Bottom