Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #501
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani niwe mzee wa grass to glory 🤒unaweza mwanangu kua motivation speaker inalipa
we unadhani nakudanganya, ni industry kubwa hii inalipa balaa..... teaching people how to be successfulYaani niwe mzee wa grass to glory 🤒
Najua Sana, but why nisi get successful. Ndo nije nitoe hizo story🤔🤒we unadhani nakudanganya, ni industry kubwa hii inalipa balaa..... teaching people how to be successful
Yaani uwe na mjengo mkali ushindwe kula pisikaliTatizo gan mkuu
uwezekano wa kua successful ni mdogo karibia haupo yaani, sema tunajipa moyo na quotes za bill gatesNajua Sana, but why nisi get successful. Ndo nije nitoe hizo story🤔🤒
Kwani we una Jenga mjengo, ili ukafanyie mapenzi??Yaani uwe na mjengo mkali ushindwe kula pisikali
Una paswa uji zungumzie wewe, why u declare mass number ya watu??uwezekano wa kua successful ni mdogo karibia haupo yaani, sema tunajipa moyo na quotes za bill gates
this is all a scam, inaitwa the self improvement industry
Kula totoz ndo maisha yenyeweKwani we una Jenga mjengo, ili ukafanyie mapenzi??
kwasababu mass number ya watu sio matajiri, mbona liko waziUna paswa uji zungumzie wewe, why u declare mass number ya watu??
Kula totoz ndo maisha yenyewe
Samahani mkuu, sababu SI Una zijua??kwasababu mass number ya watu sio matajiri, mbona liko wazi
nyingi ziko nje ya uwezo, nnachojaribu kusema umaskini sio kwasababu ya mtu husika, ni kwasababu ya huu mfumo ya kibepari, ndo maana maskini hawawezi kuishaSamahani mkuu, sababu SI Una zijua??
👉Na mbona nyingi ziko wazi??
Sija pinga mkuu, nime kataa hapo ulipo sema kuwa hatuto fanikiwa kutoboa Kama wao.nyingi ziko nje ya uwezo, nnachojaribu kusema umaskini sio kwasababu ya mtu husika, ni kwasababu ya huu mfumo ya kibepari, ndo maana maskini hawawezi kuisha
uwezekano wa kutofanikiwa ni mkubwa kuliko wa kufanikiwa😂 cheki hii videoSija pinga mkuu, nime kataa hapo ulipo sema kuwa hatuto fanikiwa kutoboa Kama wao.
Pamoja Sana mkuu, toa mawazo yako ili ma Hustlers tujifunze pia.UMETISHA👏👏👏
uwezekano wa kutofanikiwa ni mkubwa kuliko wa kufanikiwa😂 cheki hii video
haya, we kwepa mada.... nothing is guaranteed, avoid cult mindsetsJau Sanaa🤒😂🤣🤣, Kama vipi tupambanie Uhuru wa kifedha🤒
I promise, IPO siku tuta Rudi🤒haya, we kwepa mada.... nothing is guaranteed, avoid cult mindsets