Jengea tofali imara za Mwamba za Holili Rombo Kilimanjaro

stoneblock

Senior Member
Joined
Feb 28, 2023
Posts
126
Reaction score
371
Habari
karibu rock block Holili tukuuzie tofali ngumu imara na zenye upekee kwenye ujenzi wa ukuta nyumba na swimming pool

haziathiri na Magadi

kwa wale mnaojengea sehemu zenye magadi hizi tofali hazipandishi magadi wala haziathiri na magadi

zina mwonekano wa kuvutia

ipe nyumba yako mwonekano wa kipekee kwa kuamua kujengea tofali zetu ambazo ukiamua unaweza usipige plasta na ukahamia

ngumu imara mara 5 zaidi ya tofali za kufyatua
ni ngumu unabinua kama unavyobinua mawe ukimwaga

Tuna huduma ya delivery

kwa wakazi wa mkoa wa Kilamanjaro Arusha na Tanga utalipia mzigo baada ya kufikishiwa na kuuona

tupigie 0682770944 Kimambo
 
Asante kimambi tofali moja wauzaje?[emoji3516]
 
Athari zake kwa mazingira zikoje
 
Nimezitumia kwenye shimo la choo lile kubwa la mrivingo, ni nzuri sana tatizo bei iko juu.
 
Karibu Rock block Holili ujionee bidhaa bora za ujenzi pamoja na decoration za majengo tunasafirisha mikoa yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…