stoneblock
Senior Member
- Feb 28, 2023
- 126
- 371
- Thread starter
- #41
ukiwa Holili ni 1000 per piece umbali wa unapojengea wewe na atakaojengea mwingine hauwezi kuwa sawa ndio maana gharama ya usafiri itategemea na umbali uliopo Moshi mjini ni 1350 inch 5/8/18 na kwa 1500 inch 6/8/18 inches Arusha 1600 kwa1700 Dar 2200 kwa 2400 Dodoma 2400 kwa 2500 uko wap nkupigie bei ya tofali hadi ikufikie? minimum order ni piece 380 za inch 5/8/18 na 330 kwa 6/8/18Mkiweka matangazo muwe mnaweka taarifa zote muhimu, sio hadi watu waanze kuwapigia simu...
Unauza tofali lakini huweki bei lets say ukiwa Holili inauzwaje, ukiwa Moshi, Arusha, Dar na kwingineko inauzwaje...
Je, minimum order ni piece ngapi?
N.k
ukiwa hujaelewa chochote piga namba 0682770944