TPA lina floor ngapi?Jengo refu kuliko yote Tanzania litakuwa ni PSPF Tower linajengwa pale Sokoine Drive pembeni ya TRA litakuwa na 20+ floors!.
Unatumia ID gani kule?Kuna ile blog ya skyscrappers za Tanzania:itasadia kujua ghorofa gani ni refu!
Makao makuu ya CHADEMA pale ufipa ndiyo jengo refu na zuri kwa muonekano zaidi ya majengo yote DSMNawasalimu wana JF!
Jiji la Dar kwasasa lina majengo mengi marefu,yenye kuvutia sana pia kufanya Jiji kuwa na muonekano mzuri. Miaka ya nyuma kidogo jengo la MAFUTA HOUSE(BENJAMIN TOWER) nadhani ndiyo lilikuwa refu, kwasasa naona maghorofa mengi mtaa wa OHIO km GOLDEN JUBILEE TOWER na mengine mengi.Jengo refu katika Jiji lina ghorofa ngapi pia linafuatiwa na lipi? Kwaupeo wa macho km baadhi yanalingana ingawa najua lazima kuna tofauti.
Mwenye kujua tujuze na sisi.