Jengo gani ni refu kuliko yote Jijini Dar es Salaam?

Jengo gani ni refu kuliko yote Jijini Dar es Salaam?

Kwasasa Tutajitahidi Kuleta Na Picture Watu Waweze Kuona
 
Nawasalimu wana JF!

Jiji la Dar kwasasa lina majengo mengi marefu,yenye kuvutia sana pia kufanya Jiji kuwa na muonekano mzuri. Miaka ya nyuma kidogo jengo la MAFUTA HOUSE(BENJAMIN TOWER) nadhani ndiyo lilikuwa refu, kwasasa naona maghorofa mengi mtaa wa OHIO km GOLDEN JUBILEE TOWER na mengine mengi.Jengo refu katika Jiji lina ghorofa ngapi pia linafuatiwa na lipi? Kwaupeo wa macho km baadhi yanalingana ingawa najua lazima kuna tofauti.

Mwenye kujua tujuze na sisi.
Makao makuu ya CHADEMA pale ufipa ndiyo jengo refu na zuri kwa muonekano zaidi ya majengo yote DSM
 
Back
Top Bottom