Jengo hili lililopo Ufaransa limejengwa mwaka 1347 🇫🇷

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
8,589
Reaction score
16,936
FB_IMG_17308143848664830.jpg
 
Miaka hiyo ujenzi wa namna hii walikuwa wakitumia Wafaransa ili kukwepa kulipa kodi kubwa.
Kodi ilikuwa ikilipwa kwa square meters ya size ya nyumba kwa hiyo wao wakawa wanajenga chini padogo juu wanaongeza upana. Wakadiriaji wakija wanapima chini. Ndiyo maana nyumba za wakati huo huko France zikawa namna hiyo
 
Miaka hiyo ujenzi wa namna hii walikuwa wakitumia Wafaransa ili kukwepa kulipa kodi kubwa.
Kodi ilikuwa ikilipwa kwa square meters ya size ya nyumba kwa hiyo wao wakawa wanajenga chini padogo juu wanaongeza upana. Wakadiriaji wakija wanapima chini. Ndiyo maana nyumba za wakati hup huko France zikawa namna hiyo
Wakwepaji kodi kumbe wameanza kitambo 😀😀😀
 
Miaka hiyo ujenzi wa namna hii walikuwa wakitumia Wafaransa ili kukwepa kulipa kodi kubwa.
Kodi ilikuwa ikilipwa kwa square meters ya size ya nyumba kwa hiyo wao wakawa wanajenga chini padogo juu wanaongeza upana. Wakadiriaji wakija wanapima chini. Ndiyo maana nyumba za wakati hup huko France zikawa namna hiyo
mkuu, hii ni chai?
 
Kweli Jf ni makazi ya great thinkers!
Nini kitatolewa kikose mwerevu wa kukielewa?

Sema nini, sasa hivi tunaharibiwa mijadala ya maana na michawa iliyomwagwa humu kutuvuruga akili.
 
Miaka hiyo ujenzi wa namna hii walikuwa wakitumia Wafaransa ili kukwepa kulipa kodi kubwa.
Kodi ilikuwa ikilipwa kwa square meters ya size ya nyumba kwa hiyo wao wakawa wanajenga chini padogo juu wanaongeza upana. Wakadiriaji wakija wanapima chini. Ndiyo maana nyumba za wakati hup huko France zikawa namna hiyo
Kodi ikaleta uvumbuzi 🔥
 
Kumbe chanzo Cha kukwepa Kodi Ni huko....
 
Back
Top Bottom