Jengo hili lililopo Ufaransa limejengwa mwaka 1347 🇫🇷

Jengo hili lililopo Ufaransa limejengwa mwaka 1347 🇫🇷

Miaka hiyo ujenzi wa namna hii walikuwa wakitumia Wafaransa ili kukwepa kulipa kodi kubwa.
Kodi ilikuwa ikilipwa kwa square meters ya size ya nyumba kwa hiyo wao wakawa wanajenga chini padogo juu wanaongeza upana. Wakadiriaji wakija wanapima chini. Ndiyo maana nyumba za wakati huo huko France zikawa namna hiyo
Hhahhaha ata kama umetunga umetisha aisee me Nilijua wanakwepa wezi na wageni wasioalikwa.
 
FB_IMG_17308142782003315.jpg
 
Back
Top Bottom