Jengo hili lililopo Ufaransa limejengwa mwaka 1347 πŸ‡«πŸ‡·

Miaka hiyo ujenzi wa namna hii walikuwa wakitumia Wafaransa ili kukwepa kulipa kodi kubwa.
Kodi ilikuwa ikilipwa kwa square meters ya size ya nyumba kwa hiyo wao wakawa wanajenga chini padogo juu wanaongeza upana. Wakadiriaji wakija wanapima chini. Ndiyo maana nyumba za wakati huo huko France zikawa namna hiyo
 
Wakwepaji kodi kumbe wameanza kitambo πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
mkuu, hii ni chai?
 
Kweli Jf ni makazi ya great thinkers!
Nini kitatolewa kikose mwerevu wa kukielewa?

Sema nini, sasa hivi tunaharibiwa mijadala ya maana na michawa iliyomwagwa humu kutuvuruga akili.
 
Kodi ikaleta uvumbuzi πŸ”₯
 
Kumbe chanzo Cha kukwepa Kodi Ni huko....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…