Lai Otieno
JF-Expert Member
- Aug 13, 2013
- 311
- 90
kajiunge na kina Joti huwa unachekesha sana usiache kipaji chako kipoteeUtekelezaji mzuri wa Ilani ya uchaguzi ya CCM.
Hongereni sana.
kajiunge na kina Joti huwa unachekesha sana usiache kipaji chako kipotee
kwa taarifa yako Musoma hakuna C C M muulize wifi yako NapeAsante kwa ushauri.
Lakini umeona jinsi utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ulivyopamba moto huko Musoma?
musoma hakuna shule ya kata zote ni za sekondariNi shule ya kata au siyo?
Ni shule ya kata au siyo?
Ni shule ya kata au siyo?
Fisadi lowasa(mkristo) ndiye mwasisi wa shuleni za kata unazojisifia nazo?
FaizaFoxy Dada Fai , kweli skuli ya kata iwe na maabara nzuri kama hiyo? wewe mwenyewe unajua hadhi ya kata ilivyo! Amejitahidi ila akaze buti zaidi kushughulikia kero za jimbo lake!