Lai Otieno
JF-Expert Member
- Aug 13, 2013
- 311
- 90
Hili ndilo jengo jipya la Maabara ya shule ya sekondari ya Bweri iliojengwa chini ya usimamizi wa Chadema jimbo la Musoma Mijini kupitia Mhe Bunge Vincent pamoja na madiwani wake ni moja wapo ya ahadi alizo ahidi Mhe kipindi cha kuomba kura kwa wanainchi wa Musoma kwenye uchaguzi wa 2010 ali ahdi kufanya hivyo katika shule zote za sekondari ambao zinaendelea katika shule kama Kamnyonge pamoja na Nyamtwebili zote zikiwa haapa hapa jimboni.