Zakumi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2008
- 5,063
- 2,478
Jamani wasiojifunza kutokana na matukio ya kihistoria, wanajitayarisha kurudia makosa. Serikali ya Tanzania imeshindwa katika shughuli zote za biashara. Hivyo kusema kuwa jengo jipya litapangishwa na kuleta mapato ni kuipa serikali majukumu ambayo consistently imeyashindwa kufanya toka tupate uhuru.
Kwa ujumla sipingi misingi ya ununuzi wa jengo. Lakini sioni ufanisi wa mabalozi wa Tanzania nje ya nchi ni mdogo. Ofisi za balozi zimeshindwa kuwatumika watanzania au kuitangaza nchi.
Kwa ujumla sipingi misingi ya ununuzi wa jengo. Lakini sioni ufanisi wa mabalozi wa Tanzania nje ya nchi ni mdogo. Ofisi za balozi zimeshindwa kuwatumika watanzania au kuitangaza nchi.