Jamani wasiojifunza kutokana na matukio ya kihistoria, wanajitayarisha kurudia makosa. Serikali ya Tanzania imeshindwa katika shughuli zote za biashara. Hivyo kusema kuwa jengo jipya litapangishwa na kuleta mapato ni kuipa serikali majukumu ambayo consistently imeyashindwa kufanya toka tupate uhuru.
Kwa ujumla sipingi misingi ya ununuzi wa jengo. Lakini sioni ufanisi wa mabalozi wa Tanzania nje ya nchi ni mdogo. Ofisi za balozi zimeshindwa kuwatumika watanzania au kuitangaza nchi.
Muzee umebadili position ya in favour or against? au nilikuwa niki-kusoma vibaya?Jamani wasiojifunza kutokana na matukio ya kihistoria, wanajitayarisha kurudia makosa. Serikali ya Tanzania imeshindwa katika shughuli zote za biashara. Hivyo kusema kuwa jengo jipya litapangishwa na kuleta mapato ni kuipa serikali majukumu ambayo consistently imeyashindwa kufanya toka tupate uhuru.
Kwa ujumla sipingi misingi ya ununuzi wa jengo. Lakini sioni ufanisi wa mabalozi wa Tanzania nje ya nchi ni mdogo. Ofisi za balozi zimeshindwa kuwatumika watanzania au kuitangaza nchi.
Tuwekeeni basi picha ya hilo jengo!
Amandla.....
Muzee umebadili position ya in favour or against? au nilikuwa niki-kusoma vibaya?
Haya tuyaache ningependa kuonga mkono point zako hapo juu.
Wasi wasi wangu mimi ni kuwa awamu ya JK ikimaliza muda, tutaanza kusikia mambo ya ununuzi wa jengo hili hayakufuata taratibu, au wameongeza fedha kuliko thamani halisi ya jengo kwa sababu tunayoyaona hivi sasa ya EPA na ujenzi wa makao makuu ya BoT, Ubalozi wa Italy n.k yote yalifanyika katika awamu iliyopita.

Suti nzuri tena za gharama kubwa wanazovaa Viongozi wetu, majengo makubwa ya gharama ya balozi zetu nje, magari mazuri ya kifahari wanayotembelea viongozi wetu, ndege ya Rais ya bei kubwa......
Vijijini madarasa hakuna, vyoo hakuna, madawati hakuna, zahanati wala madawa hakuna, barabara vijijini hazipitiki, visima vya maji hakuna, mabwawa ya kunywesha mifugo yetu hakuna, Loliondo saa hizi mizoga ya ng'ombe imetapakaa kila mahali, hakuna fedha ya kumfidia mfugaji huyu; kilomita chache tu kutoka hapo Loliondo akina Mzee Sitta na CPA yake wanatumbua mabilioni!!
Je kuinvest kwenye real estate kwenye soko la DC ni wazo zuri? Litalipa?
jengo la bilion 10 kwa nchi kama tz ambayo majority ya wapiga kura wanaishi chini ya dola moja kwa siku.ama kweli priorities