Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,526
- 34,057
Ngwathra,Lipo wapi sasa?
Lwiva,Huyu jamaa na mambo yake ya zilipendwa ...sijua watoto wake kawafanyia nini maana muda mungi anawaza history ya mambo ya kale.
Mbona historia zako ni kuhusu waislamu tu ?Lwiva,
Mimi ni mwanahistoria.
Wakristo hawana msimulizi?Mbona historia zako ni kuhusu waislamu tu ?
Kama ni history wakristo wanatoa sana ila siyo kwenye misingi ya kidiniWakristo hawana msimulizi?
Kaamua kudeal na wazee wake kuna ubaya?
Lwiva,Mbona historia zako ni kuhusu waislamu tu ?
Kwa kuwa wewe ni mwana historia najua unajua wazi kuwa mshindi ndio huandika historia aipendayo.Lwiva,
Historia ya Waislamu wa Tanganyika katika kupigania uhuru wa Tanganyika haikupata kuandikwa kwa miaka mingi.
Utafiti niliofanya kutaka kujua kwa nini matokeo yake yalinisikitisha.
Haikutakiwa historia hii ndiyo ifahamike.
Kwa mukhtasari ni kuwa kama mimi nisingeandika historia hii tungebakia na historia ile iliyowaacha nje wazalendo wengi.
Hii ndiyo sababu yangu ya kuandika historia ya mchango wa Waislamu katika kupigania uhuru wa Tanganyika.
Gitwa,Kwa kuwa wewe ni mwana historia najua unajua wazi kuwa mshindi ndio huandika historia aipendayo.
Hivyo unapaswa kutoa historia kama uijuavyo bila kuweka vinasaba vya kidini. Sipingi maandiko yako kwani yanaelimisha na kuweka kumbukumbu sawa ila tatizo lako umeyaweka kidini zaidi.
Girita,Uko vizuri sheikh....upande wa pili je hawaqndiki historia ya Tanganyika?
Kwa nini history za kupigania uhuru unazoleta hapa unaziushisha na dini ? Kwani swala la kupigania uhuru ni dini ? Kama ni history tu ya wapigania uhuru kwanini usixiweke mezani bila ya kuweka misingi ya dini ...hivi unajua kuwa swala la kupigania uhuru ni tofauti na dini ya mtu ? HOJA IPO HAPO ... KUPIGANIA UHURU SI SWALA LA DINI NI SWALA LA HAKI KWA SABABU WALIO ONDOA UHURU WETU NDIYO HAO HAO WALIO TULETEA HIZI DINI ..KWA HIYO KAMA WALIO TULETEA UISLAMU NA UKRISTO NDIYO WALIO TUFUNGA PINGU NA KUTUUZA UTUMWANI NA KUTUTESA NA KUTUUA VIPI TUNAJIPIGA KIFUA ..MATHARANI INGEKUWA TANGANYIKA NI CHINI YA WAARABU WAISLAMU NYINYI WAISLAMU MNGEJIPIGA KIFUA KIDINI KUWA MNEPIGANIA UHURU ZIDI YA WAISLAMU WAKOLONI ?...Hivyo tambua kuwa wakristo walio mpinga mkoloni wa Kikristo ni wazalendo kuliko nyinyi ...maana walitambua kuwa Swala la haki ya Uhuru si swala la udini ndiyo maana wakatoka kumoinga mkristo mwenzao mkoloni ...TUMIA AKILI . TATIZO WAISLAMU MNA UANITHI WA AKILI.Lwiva,
Historia ya Waislamu wa Tanganyika katika kupigania uhuru wa Tanganyika haikupata kuandikwa kwa miaka mingi.
Utafiti niliofanya kutaka kujua kwa nini matokeo yake yalinisikitisha.
Haikutakiwa historia hii ndiyo ifahamike.
Kwa mukhtasari ni kuwa kama mimi nisingeandika historia hii tungebakia na historia ile iliyowaacha nje wazalendo wengi.
Hii ndiyo sababu yangu ya kuandika historia ya mchango wa Waislamu katika kupigania uhuru wa Tanganyika.
Kwani huyo Mudi Side ni msimulizi wa Waislamu au ni purely mwanahistoria kama anavyojinasibu?Wakristo hawana msimulizi?
Lwiva,Kwa nini history za kupigania uhuru unazoleta hapa unaziushisha na dini ? Kwani swala la kupigania uhuru ni dini ? Kama ni history tu ya wapigania uhuru kwanini usixiweke mezani bila ya kuweka misingi ya dini ...hivi unajua kuwa swala la kupigania uhuru ni tofauti na dini ya mtu ? HOJA IPO HAPO ... KUPIGANIA UHURU SI SWALA LA DINI NI SWALA LA HAKI KWA SABABU WALIO ONDOA UHURU WETU NDIYO HAO HAO WALIO TULETEA HIZI DINI ..KWA HIYO KAMA WALIO TULETEA UISLAMU NA UKRISTO NDIYO WALIO TUFUNGA PINGU NA KUTUUZA UTUMWANI NA KUTUTESA NA KUTUUA VIPI TUNAJIPIGA KIFUA ..MATHARANI INGEKUWA TANGANYIKA NI CHINI YA WAARABU WAISLAMU NYINYI WAISLAMU MNGEJIPIGA KIFUA KIDINI KUWA MNEPIGANIA UHURU ZIDI YA WAISLAMU WAKOLONI ?...Hivyo tambua kuwa wakristo walio mpinga mkoloni wa Kikristo ni wazalendo kuliko nyinyi ...maana walitambua kuwa Swala la haki ya Uhuru si swala la udini ndiyo maana wakatoka kumoinga mkristo mwenzao mkoloni ...TUMIA AKILI . TATIZO WAISLAMU MNA UANITHI WA AKILI.