Jengo la Bunge Kaunti ya Nyamira laporomoka

Hapo ndo utawapenda wakenya, ukipewa pesa iliyotolewa na iliyotumika unaweza kutoa machozi...
 
No No no no, big NO guys this is too much.

Yaani mpaka majengo ya serikali yanabomoka katika hatua za ujenzi?

Mimi nilifikiri ni majengo yaliyojengwa kitambo.
πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜›
 
Ingekuwa Bongo wangesema mwendazake sijui imefika wapi.
Ila kwa vile imetokea kwa MK254 ngoja tutulie
 
Hizo ndizo hasara za upigaji usiyo na huruma. Jengo la billion 7 liko wapi, hasa ukichukulia vifaa vya ujenzi ni bei poa kuliko TZ. Hawa jamaa wanachapa bila huruma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…