Watz Wana maneno hawa, unaweza kuta hakuna baya huko.😀😀😀😀usikute kuna fursa huko
Kwanini unahisi nimechangia? Uliona kipeperushi cha kuomba mchango?Kwahiyo, nawewe umechangia huo ukarabati unaoendelea [emoji3]?
Sijaja juu ila umekosea kushape maswali yako,Naona umekuja juu Sana tueleweshe tujue hao wanachama wanapatikana vipi