Jengo la Freemason Posta linafanyiwa marekebisho

Jengo la Freemason hall lililopo posta mpya linafanyiwa marekebisho, kumekuwa na uvumi mwingi kuhusu hao jamaa (masons), natamani kujua nani analipia gharama za ujenzi?

Je nani aliyewakabidhi kulirekebisha ni wanachama wenyewe au? Je kwa Tanzania taratibu zao zimekaaje?
Aione Mshana Jr na GENTAMYCIME kalemera.

Hata Maxence Melo anaweza kutoa ufafanuzi
mkuu wacha kutufuatilia tafadhali
 
Mkuu kosa langu lipi?
Kosa lako kufungulia watu uzi kisa wanakarabati nyumba yao ya ibada na kuanza kuhoji anayegharamia ukarabati, kwani hawana waumini au wadhamini basi, mbona mkikarabati misikiti na makanisa yenu wenyewe hawahoji? mbona mnataka kujiona nyie ni exeptional sana, kwani mna lipi la kushangaza kuwazidi?
 
Jengo la Freemason hall lililopo posta mpya linafanyiwa marekebisho, kumekuwa na uvumi mwingi kuhusu hao jamaa (masons), natamani kujua nani analipia gharama za ujenzi?

Je nani aliyewakabidhi kulirekebisha ni wanachama wenyewe au? Je kwa Tanzania taratibu zao zimekaaje?
Aione Mshana Jr na GENTAMYCIME kalemera.

Hata Maxence Melo anaweza kutoa ufafanuzi
CCM wanataka kututoa kafara Mbwa hawa
 
Jengo la Freemason hall lililopo posta mpya linafanyiwa marekebisho, kumekuwa na uvumi mwingi kuhusu hao jamaa (masons), natamani kujua nani analipia gharama za ujenzi?

Je nani aliyewakabidhi kulirekebisha ni wanachama wenyewe au? Je kwa Tanzania taratibu zao zimekaaje?
Aione Mshana Jr na GENTAMYCIME kalemera.

Hata Maxence Melo anaweza kutoa ufafanuzi
Wa tz wambea Sana, umepiga picha Kwa kujificha. kuwa huru , ukweli utakuweka huru.

Ungekuja kupiga picha wangekuruhusu Tu 😂, ni marafiki POA Sana
 
Kosa lako kufungulia watu uzi kisa wanakarabati nyumba yao ya ibada na kuanza kuhoji anayegharamia ukarabati, kwani hawana waumini au wadhamini basi, mbona mkikarabati misikiti na makanisa yenu wenyewe hawahoji? mbona mnataka kujiona nyie ni exeptional sana, kwani mna lipi la kushangaza kuwazidi?
Imekuuma mkuu au huu ni msimamo rasmi wa masons?
 
Back
Top Bottom