Jengo la Freemason Posta linafanyiwa marekebisho

mkuu wacha kutufuatilia tafadhali
 
Mkuu kosa langu lipi?
Kosa lako kufungulia watu uzi kisa wanakarabati nyumba yao ya ibada na kuanza kuhoji anayegharamia ukarabati, kwani hawana waumini au wadhamini basi, mbona mkikarabati misikiti na makanisa yenu wenyewe hawahoji? mbona mnataka kujiona nyie ni exeptional sana, kwani mna lipi la kushangaza kuwazidi?
 
CCM wanataka kututoa kafara Mbwa hawa
 
Wa tz wambea Sana, umepiga picha Kwa kujificha. kuwa huru , ukweli utakuweka huru.

Ungekuja kupiga picha wangekuruhusu Tu πŸ˜‚, ni marafiki POA Sana
 
Imekuuma mkuu au huu ni msimamo rasmi wa masons?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…