Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
.Katika shughuli hizi za ujenzi, anayetakiwa kuwa msimamizi mkuu wa majengo katika ujenzi wowote ule ni mbunifu majengo, pia wataalam wengine watakuwepo wakipeana maelekezo lakini chochote kikitokea katika eneo la ujenzi anayewajibishwa ni mbunifu, alisema Dk. Mwakyusa
Jamani utaalamu ni utaalamu tu hakuna kucheleaaaaaa.........majibu yatafutwe popotepale yalipo