Katika shughuli hizi za ujenzi, anayetakiwa kuwa msimamizi mkuu wa majengo katika ujenzi wowote ule ni mbunifu majengo, pia wataalam wengine watakuwepo wakipeana maelekezo lakini chochote kikitokea katika eneo la ujenzi anayewajibishwa ni mbunifu, alisema Dk. Mwakyusa