Mwanagenzi
JF-Expert Member
- Sep 11, 2006
- 738
- 273
At least hayumo kwenye ile official list ya watuhumiwa 11 wa Tundu Lisu. Kwi kwi kwi.
At least hayumo kwenye ile official list ya watuhumiwa 11 wa Tundu Lisu. Kwi kwi kwi.
Hayumo? basi wewe ulisoma ile report kwa macho ya makengeza!
Hicho kichwa cha habari!!!
mimi nilifikiri linakuwa la kwake, nikajua aliyenacho tayari kaongezewa tena
Usikute hawa wanataka kumtosa kwenye Stadium aliyoijenga.
Uwanja uitwe Benjamin Mkapa Stadium.
Watasema tushaita jengo kwa jina lako inatosha!!!!!!!!!!
Hivi hawa CCM wanafanya hivi kwa kumkubuka kwa lipi hasa alilo lifanya ndani ya CCM ? Lazima patakuwa na sababu tu , hebu wajuvi njoeni na sababu za kupewa heshima hii ama ndiyo tena inakuwa namna kurithishana majina kila kona ? Maana hata miaka 2 bado kila kona kuna shule za Salm JK wakati Maria Nyerere sijui kwamba hata anakumbukwa kwa namna hii .
mimi nilipoona heading nikajua aliyeileta anaongelea nyumba ya mkapa anayojengewa na serikali MASAKI kama zawadi ..ikiwa ni sehemu ya stahili za rais mstaafu..kumbe mnaongelea MAFUTA HOUSE ..infact mkapa kajitahidi kuleta maendeleo pamoja na makosa anayotuhumiwa ..SIO VIBAYA HILO JENGO Kuitwa BENJAMIN WILLIUM MKAPA....
HATA na UWANJA WA TAIFA MPYA uitwe BENJAMIN WILLIUM MKAPA NATIONAL MORDERN STADIUM....or like that..walioingia wajenge vyao navyo tuvipe majina yao....ie JAKAYA MRISHO KIKWETE NATIONAL THEATRE OR JAKAYA KIKWETE NATIONAL INDOOR STADIUM ets