Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mheshimiwa kikwete embu jaribu kuwa na busara katika uongozi wako!!! Ina maana hiyo issue ya nyumba anayojengewa mkapa huko masaki kama anavoyodai philemon huna taarifa nayo??? Usifanye watanzania wakaanza kutumia jina lako vibaya. Ukiendelea hivyo, usishangae kusikia watu tumeanza kusema: Seleman siku hizi ni kikwete kweli. Embu tazama alivyotelekeza familia yake!!! Mwalimu jamuhuri siku hizi ni kikwete kweli embu tazama wanafunzi wake wote wamepata divisheni zero!!! Dr.Ali siku hizi ni kikwete kweli!!!, embu tazama amempasua mgonjwa mguu badala ya kichwa!!! Nanihii siku hizi ni kikwete kweli, embu tazama alivyolewa chakari mpaka anatembea uchi!!!
Chonde chonde, kikwete!!! Rekebisha mambo usije kusema sikujua kama itakuwa hivi.
..uwanja ungeitwa kwa jina lake ndio ingekuwa poa zaidi!bidii zake zile!
Mimi napendekeza ile rada iitwe Mkapa Security Rada. Na Kiwira iitwe Mkapa kiwira power Supply.
............. Sasa madamu huyu bwana alishakuwa kiongozi wetu, pamoja na matatizo yake aliyokuwa nayo, mambo kama haya hayakwepeki, majengo, barabara,mashule, n.k. yatajwa tu jina lake, na binafsi sidhani kwamba hii inapaswa kuwa ishu!
Mkapa mkiangalia vizuri Macro Economic policy zake kidogo zilikuwa zimetulia.
...sina muda wa kuanza kulecture hapa,hiyo ni semister nzima...go read your books!
...anyway mr VICIOUS,macroeconomics ni pale unapodeal na uchumi wa nchi as a whole from its structure & perfomance ukiangalia vitu kama unemployment,GDP,investment,inflation,national income,balance of trade etc,sasa ukiangalia vizuri Mkapa alijitahidi sana kupigana na inflation na alifanikiwa sana,investment wakati wa mkapa zilikuwa nyingi sana ingawaje nyingine zilikuwa phony,unemployment at least aliweza kurudisha heshima ya mfanyakazi wa serikali na wengi wakaajiriwa na private sector na ndipo tulipoanza kusikia watu wanalipwa mishahara ya milioni,angalia national income mana atleast mkapa alituachia pesa nyingi sana hazina na kama unakumbuka kipindi chake GDP iliongezeka.
I'm afraid I'm neither impressed nor convinced at all by the reply you provided above. If you are talking in relative terms, then you'll need to provide relevant evidence (statistical etc) to support your point. At any rate, I posed my question in the English language and hence expect you to respond using the same language.
What books? Are you trying to fool folks Mr. Know-all? Do you really expect JF members to take a crash course on micro-economics just so to appreciate your "economically informed" assertion? If you are able to advance a proposition about some issue that pertains to any field of knowledge, then you should also by all means be able to expound promptly on request what makes you hold that particular position or point of view. If for any reasons you cannot (or perhaps feel yourself not confident enough to) provide further information or details about an issue, then you might as well not bring it up at all, ok?
Sir,i really dont care,its your opinions and you're entitled to it!