Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,647
Siku ikulu ikipigwa kiberiti nitafurah sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia mkuu wa mkoa aliyestaafu ndugu Anatory Tarimo alikuwa anawajali sana wakulima wa korosho huko. Vipi huyu Luteni Simbakalia anawajali wakulima au vipi? Msimamo wake ukoje ktk hili?
Kwani wakulima wana maoni gani kuhusiana na uuzaji wa zao lao korosho. Je wanataka free market?sidhani kama ni kuwajali ila mfumo wa miaka takribani miwili ya misimu ya korosho, serikali imeimpose mfumo wa "stakabadhi ghalani"..
Ambapo serikali inatangaza bei mfano kg 1 sh 1,200.. Kisha serikali inakopa benki na kutanguliza sh 800.. Kisha inaenda kuzinadi korosho..ikipata hela inalipa mabenki na kuwalipa wakulima..
Msimu uliopita serikali ilipata fedha nyingi kiasi cha kuwalipa wakulima,advance,balance,na "bonus"!
Msimu huu,malipo ya balance yamechelewa kwa takribani miezi saba! Na muda wa kuandaa mashamba kwa pembejeo umewadia na wakulima hawajui la kufanya!
Kabla ya mfumo huu,wanunuzi walikuwa wanazifuata korosho kwa wakulima.. Na wao wenyewe kupanga bei...
Afu moto na ghasia mbona ni vitu viwili tofauti?
kuna kitu cha ziada hapo mliopo huko tafadhali mtupe taarifa za kueleweka zaidi.
Tangu siku ya kwanza taarifa imetolewa ya wananchi kuvamia nyumba za watu na kukata nguzo za Tanesco, nilisema wazi kwamba hawa wananchi ni hamnazo. Yaani hawana kiongozi mwenye akili kabisa. Maana wanaharibu mali zao wenyewe na kuwaibia masikini wenzao badala ya kupambana na serikali ambayo ndiyo imewadhulumu. Wao wadeal na mkuu wa wilaya au mkurugenzi. Sasa wanachoma kituo cha polisi wakati sisi mtaani kwetu tunachangishwa kujenga kituo cha polisi baada ya kupeleka maombi ya kituo hicho miaka karibu kumi iliyopita, wao wanachoma. Hawa wananchi ni waajabu kupata kutokea katika historia ya nchi. Bora wangekiteka na kuwatoa waandamanaji waliokamatwa sasa wanachoma? Je wanatandahimba waliokuwa mahabusu humo?
Very sad.Shine juma lililopita baadhi ya vijana wakorofi walikuwa wakichoma nyumba zilizojengwa na kupangishwa na askari.. Walikuwa wakiiba pia,na hata za baadhi ya wafanyakazi wengine wa serikali ziliibiwa na mali zao kuharibiwa..
Jana baada ya ofisi kuungua mnamo saa 2,askari walikataza makundi ya raia kwenda kuangalia moto,na hivyo kuathiri hata wenye maduka,kwani ambapo wangeokoa mali zao,leo asubuhi wamekuta zimeteketea..
Sasa jinsi walivyokuwa wanakataza watu,walikataza kwa kutumia mabomu mengine mazito ya kutisha..
Tunaziita ghasia kwani askari wenyewe wakianza kuingia nyumba hadi nyumba,mpaka uje utoe kitambulisho,ushapigwa sana,na baadhi ya vitu ulivyonavyo kuharibiwa,kama vyakula,na vitu vya umeme..
Ndiyo maana wengi wamehama mji... Barabara ziko kimya,shule zimefungwa.. Mabasi ya Dar yamejaa abiria..
Kwani wakulima wana maoni gani kuhusiana na uuzaji wa zao lao korosho. Je wanataka free market?
Very sad.
ile ndege iliyolipua WTC marekani ingefaa sana tu....cjui iko wapi jamaniSiku ikulu ikipigwa kiberiti nitafurah sana
Kumbe mambo ni magumu kweli kweli. Endelea kutupatia updates mkuu. Ila kama upo eneo la tukio chukua tahadhari mapema.Na helikopta ndiyo imeingia sasa hivi..
Mkuu GambaChovu tupe updates hapo niko mbali na Tandahimba nasikia IGP Saidi Mwema amewasili!