Jengo la ofisi za TAMISEMI jijini Dodoma laungua kwa moto

emoji38.png
😀Imagine waje watuambie tutume upya maombi ya ajira
 
….hitilafu ya umeme
…..nyaraka muhimu zimeteketea
……kumbukumbu za mikopo na madeni zimeungua

Pole Tanzania.
server ya Tamisemi imeteketea na yafuatayo ametokea:
-Mfumo wa ajira umeteketea( ajira portal)

  • data za kupandisha watumishi madaraja July 2022 umeteketea
  • Orodha ya watumishi ( DED) na makatibu wakuu waliokuwa wameshushwa vyeo na wanaendelea kulipwa mishahara yao ya vyeo walivyoshushwa imeteketea.
 
Mfumo wa ajila portal uko poa, afu sijajua kuhusu sensa maana Jana wametoa kazi zingine.
 
….hitilafu ya umeme
…..nyaraka muhimu zimeteketea
……kumbukumbu za mikopo na madeni zimeungua

Pole Tanzania.
sahv Taarifa zinahifadhiiwa kwa mifumo ya computer mkuu. sio kama zamani tena acha kukariri. serikali ina system tofauti tofauti
 
TAMISEMI hii ya mkapa house?
mkapa house si kwa mkuu wa mkoa?

tamisemi walikuwa na ofisi tatu hapo dodoma, ilikuwa mkapa house sasa ni ofisi ya mkuu wa mkoa... kulikuwa na ofisi za hapa karibu na ofisi za tigo, mkabala na ofisi za jiji iliyokuwa CDA zamani na Manspaa... Pia kuna ofisi za relini kama una enda mahakama kuu na polisi hapo makutano...

ila kwa sasa ofisi kuu ni Mtumba mji wa serikali... wizara karibu zote zina patikana Mtumba... na kopi zake zipo Udom...
 
kwa hilo picha

ni mkapa house

mleta mada hajasema tamisemi ya zamani au ya sasa
 
Back
Top Bottom