Nini chanzo? Au ni hayo miundombinu mobivu ya umemeJengo la Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Dodoma linateketea kwa moto muda huu ambapo Jeshi la Zimamoto na Ukoaji linaendelea na juhudi za kuuzima.
#MwananchiUpdates
https://t.co/ERcReoDcHjView attachment 2268013
😀Imagine waje watuambie tutume upya maombi ya ajira
server ya Tamisemi imeteketea na yafuatayo ametokea:….hitilafu ya umeme
…..nyaraka muhimu zimeteketea
……kumbukumbu za mikopo na madeni zimeungua
Pole Tanzania.
Yuko wapi huyo ? Siku zile kila siku ilikua aonekane kwenye tiivii.Labuda jafo anajaribu kuficha madudu
Urefu wa kambaDuuh hatari sana , mbona matukio ya moto yamekuwa mengi ?
Kisa saver zimeungua ama? itakuwa kuzinguana sana😀Imagine waje watuambie tutume upya maombi ya ajira
sahv Taarifa zinahifadhiiwa kwa mifumo ya computer mkuu. sio kama zamani tena acha kukariri. serikali ina system tofauti tofauti….hitilafu ya umeme
…..nyaraka muhimu zimeteketea
……kumbukumbu za mikopo na madeni zimeungua
Pole Tanzania.
Ndio Mkuu,nahisi server zimo humoKisa saver zimeungua ama? itakuwa kuzinguana sana
mkapa house si kwa mkuu wa mkoa?TAMISEMI hii ya mkapa house?
ni mkapa housemkapa house si kwa mkuu wa mkoa?
tamisemi walikuwa na ofisi tatu hapo dodoma, ilikuwa mkapa house sasa ni ofisi ya mkuu wa mkoa... kulikuwa na ofisi za hapa karibu na ofisi za tigo, mkabala na ofisi za jiji iliyokuwa CDA zamani na Manspaa... Pia kuna ofisi za relini kama una enda mahakama kuu na polisi hapo makutano...
ila kwa sasa ofisi kuu ni Mtumba mji wa serikali... wizara karibu zote zina patikana Mtumba... na kopi zake zipo Udom...

HahahaMungu saidia
Kuna mikopo ilishawahi kujazwa kwa softcopy?Soft copy zipo mkuu
Hakuna janja janja
Can u share pls?Mfumo wa ajila portal uko poa, afu sijajua kuhusu sensa maana Jana wametoa kazi zingine.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maombi ya ajira yasijepotea