Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja siku atakapopita uwanja wa ndege na kukuta midege iko parking na popo wanaishi ndani.Wadau
Hivi Magufuli huwa haoni aibu anapopita pale ubungo hasa akiangalia ile interchange ilivyo na lile jengo la Tanesco aliliolibomoa
Mbona tunaipanda sana midege sema tu ATC wana muhujumu kwa kupangua pangua ratiba za ndege au kushindwa kwenda na ratiba na hivyo kutudiscourage watumiaji wa ndege zaoNgoja siku atakapopita uwanja wa ndege na kukuta midege iko parking na popo wanaishi ndani.
Tumieni hii karata uchaguzi 2020
Mtu akiwa upinzani ndio tatizo? Huo ndio ushamba wenyewe.Tatizo halikuwa jengo, tatizo alidanganywa kuwa jengo linamilikiwa na Lowasa (Kipindi hicho kumbuka alikuwa upinzani)