Jengo la Yanga kupigwa mnada kutokana na deni la shilingi ml 300, Mkwasa akiri

Mdosi manji kazingua,sasa mzee Akilimali alipe deni alambe ujiko..
 
Wapenzi tupo wengi tungeweza kujichangisha jengo lisiuzwe. Tatizo hao wazee wa hapo hawataki timu iendeshwe kisasa. Wanataka iwe chini ya mtu mmoja halafu wawe wanaenda kumwomba hela kila siku.
 
Acha uongo wew.
 
Tatizo linakuja kwamba wanachama wengi ni hewa hata ukifuatilia kadi za uwanachana hawan.
 
Lipigwe mnada tu! Na atakayelinunua atakuwa fala kwa sababu hilo eneo lote la bonde ni condemned! Ni ubutu tu wa serikari zetu kutekeleza maamuzi, vinginevyo hilo jengo kwanza halikupashwa kuwepo.
Kama halikupaswa kuwepo basi ilikuwa haina umuhim wa wakandalasi kabla gorofa halija jengwa lazima lipimwe kwamba linafaa au halifai.
 
Acha uongo wew.
Yamkini wewe utakuwa Madeni FC,Nenda mahakama kuu Divisheni ya Ardhi utakuta faini ya kulipa sh ml 360 ndani ya siku 14 otherwise Jengo sokoni, dawa ya deni ni kulipa hakuna namna..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…