swahiba Senior JF-Expert Member Joined Nov 12, 2016 Posts 2,478 Reaction score 3,628 May 5, 2017 #61 Kuna watu walikuwa wanashangilia yule mhindi kutoa million 100 watu waingie bure uwanjani kama mara 2 au mara3 kama sikosei sasa kwa nini asingetoa hizo hela kulipia hilo deni au ndo sifa za kijinga???
Kuna watu walikuwa wanashangilia yule mhindi kutoa million 100 watu waingie bure uwanjani kama mara 2 au mara3 kama sikosei sasa kwa nini asingetoa hizo hela kulipia hilo deni au ndo sifa za kijinga???
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 May 5, 2017 #62 Yanga ni Yanga tu...
Ghazwat JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 23,718 Reaction score 66,267 May 5, 2017 Thread starter #63 Ulimakafu said: Yanga ni Yanga tu... Click to expand... Kwa hivyo, unataka kusemaje mkuu.?!
gwa myetu JF-Expert Member Joined Aug 18, 2014 Posts 4,473 Reaction score 4,666 May 5, 2017 #64 msem said: Mkuu ntapataje number ya admin wa YOUNG INTERNATIONAL? Ikiwezekana nidumbukizie inbox. Click to expand... Sina mkuu, jaribu kwenda page ya Naipenda Yanga kule facebook utapata msaada kwa admin wa hiyo page
msem said: Mkuu ntapataje number ya admin wa YOUNG INTERNATIONAL? Ikiwezekana nidumbukizie inbox. Click to expand... Sina mkuu, jaribu kwenda page ya Naipenda Yanga kule facebook utapata msaada kwa admin wa hiyo page
Nyetk JF-Expert Member Joined Feb 28, 2012 Posts 1,648 Reaction score 1,698 May 6, 2017 #65 mrangi said: Unataka kusema eneo hilo linafaa kulima mpunga siyo.... Click to expand... Ndo maana yake!
mrangi said: Unataka kusema eneo hilo linafaa kulima mpunga siyo.... Click to expand... Ndo maana yake!
manning JF-Expert Member Joined Apr 1, 2013 Posts 5,078 Reaction score 11,930 May 6, 2017 #66 Mulimila dole said: Si nimesikia wakazi wakazi wa mabondeni nyumbani zao zimebomolewa. Jengo LA Yangu limenusurika? Ndiyo maana hawalipii kodi Click to expand... Linasubiriwa lilipiwe kodi kwanza ndo libomolewe.
Mulimila dole said: Si nimesikia wakazi wakazi wa mabondeni nyumbani zao zimebomolewa. Jengo LA Yangu limenusurika? Ndiyo maana hawalipii kodi Click to expand... Linasubiriwa lilipiwe kodi kwanza ndo libomolewe.
demigod JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 8,292 Reaction score 15,250 Sep 15, 2017 #67 Vipi humu jamani....? Hivi hili jengo limekwisha uzwa tayari...? Nasikia Yanga ndio serikali na serikali ndio Yanga.πππ
Vipi humu jamani....? Hivi hili jengo limekwisha uzwa tayari...? Nasikia Yanga ndio serikali na serikali ndio Yanga.πππ