Jengo la Yanga kupigwa mnada kutokana na deni la shilingi ml 300, Mkwasa akiri

Jengo la Yanga kupigwa mnada kutokana na deni la shilingi ml 300, Mkwasa akiri

Kuna watu walikuwa wanashangilia yule mhindi kutoa million 100 watu waingie bure uwanjani kama mara 2 au mara3 kama sikosei sasa kwa nini asingetoa hizo hela kulipia hilo deni au ndo sifa za kijinga???
 
Mkuu ntapataje number ya admin wa YOUNG INTERNATIONAL? Ikiwezekana nidumbukizie inbox.

Sina mkuu, jaribu kwenda page ya Naipenda Yanga kule facebook utapata msaada kwa admin wa hiyo page
 
Vipi humu jamani....? Hivi hili jengo limekwisha uzwa tayari...?

Nasikia Yanga ndio serikali na serikali ndio Yanga.😀😀😀
 
Back
Top Bottom