Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga ina mashabiki zaidi ya milioni kumi nchi nzima, wanafika hata milioni ishirini.
Viongozi wakiweka utaratibu mzuri mashabiki wana moyo sana na team yao,ukipata mashabiki milioni moja tu kila mmoja akachanga shilingi mia tano tu tayari una shilingi milioni mia tano, deni linalipwa na chenji ya soda ya wachezaji inarudi.
Sidhani kama mashabiki wenye uchungu na team yao watakuwa tayari kusimama pembeni kuangalia club inakwenda shimoni wakati wanaweza kufanya jambo,kinachokosekana hapa ni ubunifu,na muhimu zaidi washabiki wahakikishiwe uaminifu mipangilio mizuri, nina hakika wataonesha ushirikiano- jambo hili ni kubwa lakini ni dogo sana wanayanga wakiwa na umoja kwani UMOJA NI NGUVU.
Linafaa kwa ufugaji wa sato
Ni kweli mkuu, lakini mimi ushauri wangu haukuwalenga wanachama pekee,nimeongelea mashabiki kwa ujumla nikimaanisha wanachama na wapenzi wa kawaida wasio wanachama.Tatizo linakuja kwamba wanachama wengi ni hewa hata ukifuatilia kadi za uwanachana hawan.
Hiyo number inapatikana wapi mkuu? Wewe una uhakika gani wameshindwa kuchangia?Mbona hao mashabiki wameshindwa kuchangia team na namba zimetolewa mitandaoni?
Maneno mengi vitendo sifuri
Namba ipo mkuu mpaka sasa michango inaendelea Mkwasa aliiweka...!Hiyo number inapatikana wapi mkuu? Wewe una uhakika gani wameshindwa kuchangia?
Lakini pia ukitoa tu number mtandaoni bila kuwa na mkakati wa kulitangaza jambo bado kunakuwa na ugumu, mimi binafsi hiyo number siijui, bado sio kila mtu anaingia mtandaoni, wapo watanzani huko vijijini ni wapenzi wa mpira lakini mambo ya mtandaoni hawayajui.
Hiyo number inapatikana wapi mkuu? Wewe una uhakika gani wameshindwa kuchangia?
Lakini pia ukitoa tu number mtandaoni bila kuwa na mkakati wa kulitangaza jambo bado kunakuwa na ugumu, mimi binafsi hiyo number siijui, bado sio kila mtu anaingia mtandaoni, wapo watanzani huko vijijini ni wapenzi wa mpira lakini mambo ya mtandaoni hawayajui.
Asante sana mkuu! Hapa umeweka maneno pembeni umeweka mzikiMUHIMU || KUCHANGIA YANGA KWA MPESA, TIGO PESA NA AIRTEL MONEY
Unaombwa kuichangia klabu hii kwa mtandao wowote wa simu.
JINSI YA KUICHANGIA YANGA SC || KWA M-PESA
NB: Namba ya klabu ya Young Africans kuchangia ni 150334
HATUA M-PESA
1. Bonyeza 150*00#
2. Chagua namba 4 lipia kwa M Pesa
3. Chagua namba 4 ingiza namba ya kampuni 123123
4. Ingiza kumbukumbu namba 150334
5. Ingiza kiasi *******
6. Ingiza namba yako ya siri ******
7. Utapata meseji ya uhakiki
JINSI YA KUICHANGIA YANGA SC || KWA TIGO PESA
NB: Namba ya klabu ya Young Africans kuchangia ni 150334
HATUA TIGO - PESA
1. Bonyeza 150*01#
2. Chagua namba 6 - Huduma za kifedha
3. Chagua namba 5 - Selcom pay
4. Ingiza namba ya malipo - 150334
5. Ingiza kiasi unachotaka kulipia *******
6. Ingiza namba yako ya siri ******
7. Utapata meseji ya uhakiki
JINSI YA KUICHANGIA YANGA SC || KWA AIRTEL MONEY
NB: Namba ya klabu ya Young Africans kuchangia ni 150334
HATUA AIRTEL - MONEY
1. Bonyeza 150*60#
2. Chagua namba 5 - Lipia Bili
3. Chagua namba 2 - Chagua kwenye orodha
4. Chagua 3 - Manunuzi
5. Chagua 3 - Selcom Pay
6. Ingiza kiasi cha pesa ******
7. Ingiza namba ya kumbukumbu - 150334
8. Ingiza namba ya siri *******
Utapata ujumbe wa uthibitisho.
DAIMA MBELE NYUMA MWIKO
******* Prepared by Samuel Samuel *******
********* Powered by Naipenda YANGA Inc. ********
"Uongozi chondechonde fanyieni kazi maombi yetu na ushauri wetu nadhani mmeona walichofanya TFF kwa Serengeti Boys, TBC hapo jana wameweza kukusanya zaidi ya milioni 200 kwa ajili ya Serengeti Boys, sasa ukiniambia kati ya Yanga na TFF nani wananchi wanamwamini kumchangia zaidi ni wazi itakua Yanga.Tuendelee kuhamasishana kuhusu kuichangia klabu hamasa kubwa inapaswa kwenda mbali zaidi na kuwafikia wana Yanga wengi.
Mwitikio Bado sio mzuri hasa baada ya matokeo ya jana, ni kweli tumetolewa nusu fainali ni sawa tumeumia sana, vijana wamepigana haswa kipindi cha pili wakionesha wana dhamira ya dhati kabisa kutinga fainali lakini bahati haikuwa kwetu.
Tumepoteza kikombe tulichokua tunakishikiria hii ni mbaya sana, sio tu kikombe tumepoteza pia nafasi ya kupata milioni 50 kama tungetetea ubingwa wetu, na pia mapato makubwa kama tungeingia fainali kwa kuwa Yanga na Simba ndio brand pekee tz inayoweza kuingiza nusu bilioni kwa dakika 90, kiufupi kiuchumi tumepoteza nafasi ya kutengeneza milioni 100 kama tungekua mabingwa tena wa kombe hili kwa maana milioni 50 zawadi na 50 gate collection ikiwa fainali ingekua Yanga na Simba, pia hadhi ya mabingwa wa kombe hili tumeipoteza inauma sana.
Lakini wahenga hunena, yaliyopita si ndwele tugange yajayo, bado tunayo nafasi kubwa sana ya kuwa mabingwa , tuzidi kuwapa moyo vijana wetu ili tubebe VPL tukawakilishe nchi katika michuano ya klabu bingwa barani Afrika.Ni vema kwa kila mwana Yanga kufunga mkanda kujitolea kwa hali na mali kutetea kombe hili maana ndio tumaini letu pekee,yatupasa tupambane kweli!lakini tukileta mpira wa mdomoni tutaumbuka, lazima tujue kuna kazi kubwa mbele yetu ya kuhakikisha tunatetea ubingwa huu. . Tukidhani ni kazi nyepesi basi Tutaitwa WAMCHANGANI na fedheha juu.
Uongozi chondechonde fanyieni kazi maombi yetu na ushauri wetu nadhani mmeona walichofanya TFF kwa Serengeti Boys, TBC hapo jana wameweza kukusanya zaidi ya milioni 200 kwa ajili ya Serengeti Boys, sasa ukiniambia kati ya Yanga na TFF nani wananchi wanamwamini kumchangia zaidi ni wazi itakua Yanga.
Hatupaswi kuonyesha kushindwa mapema, wengi wasiojua tuwaelimishe , tutumia vyombo vya habari TV, Redio, Magazeti kuwafikia wengi na kuwahamasisha.
Mwananchi tuendelee kuchangia klabu yetu, viongozi wa matawi hamasisheni wanachama wenu, maofisini, mitaani tuhamasishane, viongozi wa makundi ya WhatsApp wekeni kanuni zitazowabana na kuwahamasisha watu kuchanga mfano kundi la YOUNG INTERNATIONAL linaloongozwa na Deo wameweka utaratibu mzuri kwa kila mwanakundi kuchangia la sivyo hutolewa.
Pesa hii ndio italeta hamasa kwa wachezaji wetu na kuongeza fund katika mfuko wa usajiri, chonde chonde ya Mwanza yamepita let focus on VPL na program yetu ya kuichangia Yanga kama kawaida.
Furaha yangu na yako kama Mwana Yanga itatimia iwapo Mimi na wewe tutatimiza wajibu wetu kama wanayanga.
selcom 150334 hii ndo habari ya mjini.
- Admin Hissan Salum.
Mkuu ntapataje number ya admin wa YOUNG INTERNATIONAL? Ikiwezekana nidumbukizie inbox.Tuendelee kuhamasishana kuhusu kuichangia klabu hamasa kubwa inapaswa kwenda mbali zaidi na kuwafikia wana Yanga wengi.