Jengo laanguka Kenya

Jengo laanguka Kenya

BoManganese

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2017
Posts
980
Reaction score
2,679
BREAKING NEWS: Jengo la ghorofa sita limeanguka asubuhi ya leo katika eneo la Embakasi jijini Nairobi, huku watu kadhaa wakihofiwa kunaswa chini ya kifusi cha jengo hilo.

Shughuli za uokoaji zinaendelea huku baadhi ya majeruhi wakikimbizwa hospitalini kwajili ya matibabu

Ripoti nchini Kenya zinasema kuwa jengo la ghorofa sita limeanguka asubuhi ya leo katika eneo la Embakasi jijini Nairobi, huku watu kadhaa wakihofiwa kunaswa chini ya kifusi cha jengo hilo.

1575624628944.png

Shughuli za uokoaji zinaendelea. Ripoti zinasema watu kadhaa wameokolewa na kukimbizwa hospitalini kwa ajili ya matibabu.

iporomoka na ni watu wangapi wamekwama kwenye jengo hilo.Wenyeji wanadai kuwa huenda ikawa watu wengi wamekwama kwani jengo lenyewe liliporomoka mapema asubuhi na wakati huu shule zikiwa zimefungwa.

Wenyeji wanailaumu Idara ya mipango ya Ujenzi nchini kwa kutohakikisha majengo yaliyojengwa ni salama kutumika.Wanadai kuwa Idara hiyo imezembea katika kukagua usalama wa majengo hasa jijini Nairobi na hivyo kuwaacha watu katika hatari.

Shughuli za kuwaokoa walionasa kwenye jumba hilo zinaendelea huku magari ya kubeba wagonjwa yakiwa yamefika kutoa msaada wa dharura.

Mkuu wa polisi Philip Ndolo amesema kuwa wanafanya kila wawezalo kuwaokoa watu waliokwama.
1575624611188.png

Hili si jengo la kwanza kuporomoka. Mwezi Septemba mwaka huu jengo la ghorofa moja la shule eno la Dogoretti Nairobi liliporomoka na kuwaua wanafunzi saba huku wengine 64 wakijeruhiwa. Mwaka 2015,Jengo jingine la ghorofa sita liliporomoka eneo la Huruma jijini Nairobi na kugharimu maisha ya watu.

Serikali wakati huo ilianza ukaguzi wa majengo yote haswa ya makazi jijini Nairobi.
Ripoti ya ukaguzi ilionyesha kuwa zaidi ya majengo 800 si salama na hivyo yalihitaji kubomolewa kwani hayakidhi viwango vya ubora.

Hata hivyo shughuli hiyo ilisimamishwa baadaye serikali ikidai haikuwa na fedha za kutosha kubomoa majengo hayo yote.
 
Ripoti nchini Kenya zinasema kuwa jengo la ghorofa sita limeanguka asubuhi ya leo katika eneo la Embakasi jijini Nairobi, huku watu kadhaa wakihofiwa kunaswa chini ya kifusi cha jengo hilo.

Shughuli za uokoaji zinaendelea. Ripoti zinasema watu kadhaa wameokolewa na kukimbizwa hospitalini kwa ajili ya matibabu.

Haijabainika ni kwanini jengo hilo liliporomoka na ni watu wangapi wamekwama kwenye jengo hilo.Wenyeji wanadai kuwa huenda ikawa watu wengi wamekwama kwani jengo lenyewe liliporomoka mapema asubuhi na wakati huu shule zikiwa zimefungwa.

Wenyeji wanailaumu Idara ya mipango ya Ujenzi nchini kwa kutohakikisha majengo yaliyojengwa ni salama kutumika.Wanadai kuwa Idara hiyo imezembea katika kukagua usalama wa majengo hasa jijini Nairobi na hivyo kuwaacha watu katika hatari.

Shughuli za kuwaokoa walionasa kwenye jumba hilo zinaendelea huku magari ya kubeba wagonjwa yakiwa yamefika kutoa msaada wa dharura.

Mkuu wa polisi Philip Ndolo amesema kuwa wanafanya kila wawezalo kuwaokoa watu waliokwama.
Hili si jengo la kwanza kuporomoka. Mwezi Septemba mwaka huu jengo la ghorofa moja la shule eno la Dogoretti Nairobi liliporomoka na kuwaua wanafunzi saba huku wengine 64 wakijeruhiwa. Mwaka 2015,Jengo jingine la ghorofa sita liliporomoka eneo la Huruma jijini Nairobi na kugharimu maisha ya watu.

Serikali wakati huo ilianza ukaguzi wa majengo yote haswa ya makazi jijini Nairobi.
Ripoti ya ukaguzi ilionyesha kuwa zaidi ya majengo 800 si salama na hivyo yalihitaji kubomolewa kwani hayakidhi viwango vya ubora.

Hata hivyo shughuli hiyo ilisimamishwa baadaye serikali ikidai haikuwa na fedha za kutosha kubomoa majengo hayo yote.
Watu wakishuhudia jengo lililoporomoka
 
Ripoti nchini Kenya zinasema kuwa jengo la ghorofa sita limeanguka asubuhi ya leo katika eneo la Embakasi jijini Nairobi, huku watu kadhaa wakihofiwa kunaswa chini ya kifusi cha jengo hilo.

View attachment 1283419
Shughuli za uokoaji zinaendelea. Ripoti zinasema watu kadhaa wameokolewa na kukimbizwa hospitalini kwa ajili ya matibabu.

iporomoka na ni watu wangapi wamekwama kwenye jengo hilo.Wenyeji wanadai kuwa huenda ikawa watu wengi wamekwama kwani jengo lenyewe liliporomoka mapema asubuhi na wakati huu shule zikiwa zimefungwa.

Wenyeji wanailaumu Idara ya mipango ya Ujenzi nchini kwa kutohakikisha majengo yaliyojengwa ni salama kutumika.Wanadai kuwa Idara hiyo imezembea katika kukagua usalama wa majengo hasa jijini Nairobi na hivyo kuwaacha watu katika hatari.

Shughuli za kuwaokoa walionasa kwenye jumba hilo zinaendelea huku magari ya kubeba wagonjwa yakiwa yamefika kutoa msaada wa dharura.

Mkuu wa polisi Philip Ndolo amesema kuwa wanafanya kila wawezalo kuwaokoa watu waliokwama.
View attachment 1283418
Hili si jengo la kwanza kuporomoka. Mwezi Septemba mwaka huu jengo la ghorofa moja la shule eno la Dogoretti Nairobi liliporomoka na kuwaua wanafunzi saba huku wengine 64 wakijeruhiwa. Mwaka 2015,Jengo jingine la ghorofa sita liliporomoka eneo la Huruma jijini Nairobi na kugharimu maisha ya watu.

Serikali wakati huo ilianza ukaguzi wa majengo yote haswa ya makazi jijini Nairobi.
Ripoti ya ukaguzi ilionyesha kuwa zaidi ya majengo 800 si salama na hivyo yalihitaji kubomolewa kwani hayakidhi viwango vya ubora.

Hata hivyo shughuli hiyo ilisimamishwa baadaye serikali ikidai haikuwa na fedha za kutosha kubomoa majengo hayo yote.
Mainjinia walikula mlungula, kama kawaida ya wakenya
 
Wakenya poleni sana kwa msiba huu mkubwa.

Mungu awape afua wahanga na kuwapa pumziko marehemu wote. Muwe na subira na tulizo la moyo katika kipindi hiki kigumu sana
 
BREAKING NEWS: Jengo la ghorofa sita limeanguka asubuhi ya leo katika eneo la Embakasi jijini Nairobi, huku watu kadhaa wakihofiwa kunaswa chini ya kifusi cha jengo hilo.

Shughuli za uokoaji zinaendelea huku baadhi ya majeruhi wakikimbizwa hospitalini kwajili ya matibabu

Source: ITV
Pole Sana kwa wahanga wa hili tukio..
 
Sijui in swala" la kitu kidogo" linawagharimu wakenya
 
Sasa umefurahia?
Acha kujishuku, tuliwaonya sana kuhusu tabia ya kuendekeza ukabila ambao huzaa rushwa, matokeo ya rushwa ni kama hili tukio ambapo miradi hutekelezwa chini ya viwango, sasa uzembe wenu ukisababisha maafa unataka sisi tusikitike?, tunawasikitikia wale wanaokufa kwa mafuriko, sio hao mliowasababishia vifo kutokana na uzembe wenu.
 
Tz=LDC=Hermit=Cummunistan=FPS
 
tunawasikitikia wale wanaokufa kwa mafuriko, sio hao mliowasababishia vifo kutokana na uzembe wenu.
Mkuu haya mambo siyo ya kushabikia namna hii, tuwape pole, tuomboleze wote kama janga lililo sababishwa na watu kule Ziwa Victoria Kivuko kilichozama.

Haya mambo hutokea kote kote.
 
Back
Top Bottom