amatolo
JF-Expert Member
- Jul 24, 2017
- 690
- 712
Raha sana, Mwanza tumebahatika kuwa na jengo zuri la kibiashara.
Zamani ulikuwa ukitoka mkoani ukifika jiji la samaki lazima ukapige picha pale kwenye samaki, kwa sasa tuna jengo jipya la kibiashara la Rock City Mall ukifika mwanza karibu sana ndani ya jengo letu pendwa. Jamani ndani ya jengo hili hata ukiwa chooni au kwenye lift ya mizigo iliyojaa vumbi lazima kwa mbali utasikia mziki laini ukikubembeleza.
Kilichonifurahisha zaidi ni baada ya Chuo flani kuwa sehemu ya wapangaji wa jengo hili, kwanza coarse zitolewazo na chuo hiki ni kozi pendwa na Maua ya Uaridi. 85% ya wanachuo wote ni Ua la Kondeni. Kiuhalisia haya maua na zile nyimbo nyororo ndani ya jengo letu pendwa vimenifanya kuwa mwadilifu kazini, wa kwanza kuingia na wa mwisho kutoka. Kinachonifurahisha, muda mwingi viumbe hivi pendwa hushinda vikizungukia jengo letu pendwa, kiufupi binafsi nafaid sana. Japokuwa kuna sababu ya kuwashukuru wahusika kwa yafuatayo:-
1. Vitasa karibia vyote vinafunga kwa nje tu, ukiwa ndani huwezi kulock mlango wako, maana mtu anaweza kuingia muda wowote ukiwa ndani sio kama ofisi zingine unaweza kujifungia ndani ukafanya yako.
2. Kuta za vioo transparent yani mtu akipita nje anaona kila kitu maongezi pekee ndo hawezi kusikia.