Jengo letu pendwa Mwanza

Ujue hata machangudoa watajitambulisha kuwa ni wanachuo, nasubiri ulete uzi wa kuwalalamika kuwa wanafunzi hao ni matapeli.
 
Mkuu mbona cc tupo tu, hizi n changamoto za kawaida, wenye unafuu ni sisi wenye ofisi za kawaida lakini wenye maduka ya bidhaa hali sio nzur kiukwel

Tatizo lao wanauzia sifa,yaani shati la 20,000 ukiingia humo unauziwa 60,000
 
Sasa nimeelewa kwann kuna siku kuna mtu alileta mada ya chuo Fulani kuleta wanafunzi hapo uku akilalamika kwa chuo icho kumpa mtihani wa kushindwa kufanya kazi zake vizuri
 
Sasa nimeelewa kwann kuna siku kuna mtu alileta mada ya chuo Fulani kuleta wanafunzi hapo uku akilalamika kwa chuo icho kumpa mtihani wa kushindwa kufanya kazi zake vizuri
Kitaje basi hicho chuo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…