Hivi majuzi nilikwenda kuomba kazi katika gazeti moja jipya ambalo ofisi zake ziko kwenye ghrofa linalomilikiwa kwa sasa na NSSF.
Karibu kila korido ilikuwa na harufu mbaya na kali ya kinyesi. Nikajiuliza kulikoni shirika lenye jina na umaarfu kama NSSF kushindwa kuwa makini katika kutunza majengo yake.
Au ndio tena ile ajira kwa ndugu, mjomba, shangazi au watoto wa wakubwa na wakiharibu hakuna hatua yoyote inayochukuliwa? Hali hii ilini put off na nikaamua nikatafute kazi mahala pengine lakini sio kwenye gazeti hilo ambalo limepangisha kwenye jengo la NSSF.
Kwa wengine ukona vyaelea vimeundwa, kwa hawa jamaa ukion vinaelea ndani kumeoza. Katika kudadisi kwangu nikasikia eti uamuzi ulifikiwa wa kukata umeme na kuzima mitambo ya maji eti kwa sababu kuna maji yalidondokea kwenye duka la bi mkubwa mmoja ambaye anaonekana kwa kweli ni bi mkubwa. Maana kama mtu unawanyima wapangaji wengine katika ghorofa 10 huduma ya maji na umeme ama huyo mtu kwa kweli ni mkubwa.
Nakubaliana na wenzangu kwamba kwa kujenga NSSF ndio wenyewe, kwa matunzo na maintenance ya majengo yao kwa bati mbaya ni sifuri au ziro kabisaaaa!