Jengo linalomilikiwa na NSSF linanuka?

Jengo linalomilikiwa na NSSF linanuka?

Huduma

Member
Joined
Jan 26, 2008
Posts
68
Reaction score
2
Hivi majuzi nilikwenda kuomba kazi katika gazeti moja jipya ambalo ofisi zake ziko kwenye ghrofa linalomilikiwa kwa sasa na NSSF.

Karibu kila korido ilikuwa na harufu mbaya na kali ya kinyesi. Nikajiuliza kulikoni shirika lenye jina na umaarfu kama NSSF kushindwa kuwa makini katika kutunza majengo yake.
Au ndio tena ile ajira kwa ndugu, mjomba, shangazi au watoto wa wakubwa na wakiharibu hakuna hatua yoyote inayochukuliwa? Hali hii ilini put off na nikaamua nikatafute kazi mahala pengine lakini sio kwenye gazeti hilo ambalo limepangisha kwenye jengo la NSSF.

Kwa wengine ukona vyaelea vimeundwa, kwa hawa jamaa ukion vinaelea ndani kumeoza. Katika kudadisi kwangu nikasikia eti uamuzi ulifikiwa wa kukata umeme na kuzima mitambo ya maji eti kwa sababu kuna maji yalidondokea kwenye duka la bi mkubwa mmoja ambaye anaonekana kwa kweli ni bi mkubwa. Maana kama mtu unawanyima wapangaji wengine katika ghorofa 10 huduma ya maji na umeme ama huyo mtu kwa kweli ni mkubwa.

Nakubaliana na wenzangu kwamba kwa kujenga NSSF ndio wenyewe, kwa matunzo na maintenance ya majengo yao kwa bati mbaya ni sifuri au ziro kabisaaaa!
 
Ungesema jengo lenyewe lilipo ili watu waende kujionea wenyewe.. (au kujinusia)..
 
Hapa hakukuwa na sababu ya kusema jengo fulani linalomilikiwa na nssf kwa kuwa ni suala la kisayansi (kwamba mtu akienda leo ataikuta hali hiyo) ungetaja jengo lililopo mtaa fulani ili mamlaka husika ziweze kushughulikia hili kwani wadau wengine tunao humuhumu.
 
Kichwa cha habari na habari yenyewe mbona comfyusheni?
 
ulijaribu kunusa nguo zako? samtaimu inakuwa si mazingira ni nguo zako. ishawahi kunitokezea hii. nilitafta kinyesi kumbe nanuka mimi.
 
Kichwa cha habari na habari yenyewe mbona comfyusheni?


Si ndio, jamaa kasema alienda kutafuta kazi katika gazeti moja jipya. Hawa ndio wale wanaoandika vichwa vya habari vikuuuubwa, ukisoma habari yenyewe haihusiani kabisa na kichwa.

Au kama basi ana maana yake kuita hilo jengo "Ubalozi wa Uingereza" walau angegusia ndani ya habari yenyewe sababu zake.

Ndio yale yale ya www.udaku.com
 
Yaliyoandikwa hayaendani na kichwa cha habari hii.
Ushauri: mtoa mada mmoja ameshauri yawezekana nguzo zake zinautata, jinuse pengine zinanuka!
 
Una bahati hufahamiki.Ungeshtakiwa kwa defamation!
Ubalozi wa uingereza unahusikanaje na nyumba ya NSSF?
 
Ubalozi wa Uingereza wapi? JAMAICA? mwe!mwe!Viongozi hawaeleweki,wananchi nao...
 
nafikiri huyu jamaa ameandika akiwa ameweka kidogo waragi
 
Mod, itendee haki hii post, Ubalozi wa Uingereza uko Umoja House, kumbe Umoja House ni jengo la NSSF?. Kumbe kwenye jengo hilo kuna wapangaji kibao likiwemo hilo gazeti daiwa?. Please do the needfully, pamoja na maroroso ya viza za Uingereza, at least utendee haki ubalozi huo kwenye issue ya jengo.

utendee haki Ubalozzi
 
.....Mbona haeleweki, kichwa cha habari na habari iliyopo ni vitu viwili tofauti.
Inaelekea huyu ni mwandishi wa habari wa magazeti ya udaku.
 
nafikiri ana maanisha lile jengo linaloitwa hifadhi hse, zamani palikwa na ubalozi wa uingereza. kwenye hiyo round about ya yule askari wa zamani.
 
Una bahati hufahamiki.Ungeshtakiwa kwa defamation!
Ubalozi wa uingereza unahusikanaje na nyumba ya NSSF?

Brother you know um a watchman, so to make me laugh while um alone is not fair. Be good on your answers, but thanx.
 
Back
Top Bottom