JENIFER JINA MHEHE MCHAGA house girl

JENIFER JINA MHEHE MCHAGA house girl

tyadcodar

Senior Member
Joined
Aug 16, 2011
Posts
170
Reaction score
12
NI TAHADHARI TU KWA WANAOHITAJI DADA WA KAZI ZA NYUMBANI Wewe waangalie tu HUYU ANAJiita majina bandia na ni mwizi kuna msichana mmoja anajiita jenifer ana pua ndefu kidogo anaongea kichaga na kihehe ogopa hiyo namba chonde chonde msije pokea msichana huyo mwizi,mchonganishi kwa ujumla msanii usijemwachia watoto uko kazini ukidhani atawaudumia,mhehe mchaga.
 
Mara ya mwisho kapiga tukio wapi?
 
Back
Top Bottom