Tatizo labda hataki kutoa papuchi,ukiwa mwimbaji wa injili lazima uwe malaya.
mh kile kisauti kwangu huwa aina nyingine ya kelele hata hivyo wanamuonea maana kuna wapiga kelele wenzake wameishatoka.
Nimeanza kumsikia jenifa mgendi (mwimbaji wa nyimbo za injili) tokea niko mdogo sana hata shule sijaanza.
Cha kusikitisha had sasa naona kama wanamuonea. Sijamsikia kwenye matamasha wakimjumuisha wala popote japokua bado anaimba.
sauti kama twitA
Mbona ya Wema Sepetu mnaipenda?