Jenifer Mgendi mkongwe wa mziki ila hajatoka

Jenifer Mgendi mkongwe wa mziki ila hajatoka

Rahabu

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2014
Posts
5,526
Reaction score
3,341
Nimeanza kumsikia jenifa mgendi (mwimbaji wa nyimbo za injili) tokea niko mdogo sana hata shule sijaanza.

Cha kusikitisha had sasa naona kama wanamuonea. Sijamsikia kwenye matamasha wakimjumuisha wala popote japokua bado anaimba.
 
mh kile kisauti kwangu huwa aina nyingine ya kelele hata hivyo wanamuonea maana kuna wapiga kelele wenzake wameishatoka.
 
Si nasikia ni Teacher wa Secondary by Professional nazani yuko buzy na kazi za kufundisha zaidi.
 
Sijajaaliwa sauti ya kuimba ila kile kisauti mmh hapana kwakweli
huwa kinaniboa mnoooo
 
Naliaaaa poolee naliaaa polesana.....!

Mi nilikuwa nazikubali nyimbo zake sana tu,sahivi simsikii tena.Nyota ya mchezo pia hana
 
Kuna wakati alivuma kweli. Hivi Yuko wapi siku hizi?
 
Nimeanza kumsikia jenifa mgendi (mwimbaji wa nyimbo za injili) tokea niko mdogo sana hata shule sijaanza.

Cha kusikitisha had sasa naona kama wanamuonea. Sijamsikia kwenye matamasha wakimjumuisha wala popote japokua bado anaimba.

Itabidi nae apangiwe hotel ahame kwake. lazima atoke!
 
Mgendi yupo jamani, bado anamtangaza Yesu waukweli kwanguvu zake zote.
 
Mwalimu tena ana masters juu. Alikuwa anafundisha ila pia huenda kwa elimu yake atakuwa ofisi fulani ya Elimu. Ni mwimbaji mzuri mcha Mungu hana makuu na uzuri wake natural kabisa.
 
Back
Top Bottom