Jenifer na Patrick Kanumba mnawaelewa?

Emok Jr

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2018
Posts
1,094
Reaction score
800
Yeah ni kwa mara nyingine tena!!


Leo nataka wale wajuvi wa kufuatilia celebrities uchwara Jenifer na Patrick kanumba hivi hawa watoto Wanasoma kweli? Maana naona daily kutafutiana followers instagram!

Jambo la pili kama wanasoma ufaulu wao lazima utakuwa unatia shaka!

Jambo la mwisho inawezekana hawa watoto kuwa hawajagegedana hadi sasa?
 
Kwani Bado Wanaigiza?
 
Ww inakuhusu nn??? Au na ww unatafuta u-celebrity uchwara??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…